Loading...

SINGIDA UNITED YAPOKEA MSAADA WA VIFAA VYA MICHEZO TOKA NMB

Loading...
SINGIDA UNITED YAPOKEA MSAADA WA VIFAA VYA MICHEZO TOKA NMB - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SINGIDA UNITED YAPOKEA MSAADA WA VIFAA VYA MICHEZO TOKA NMB, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SINGIDA UNITED YAPOKEA MSAADA WA VIFAA VYA MICHEZO TOKA NMB
link : SINGIDA UNITED YAPOKEA MSAADA WA VIFAA VYA MICHEZO TOKA NMB

soma pia


SINGIDA UNITED YAPOKEA MSAADA WA VIFAA VYA MICHEZO TOKA NMB

BENKI ya NMB imetoa msaada wa vifaa vya michezo vyenye thamani ya sh. milioni 10 kwa timu ya Singida United kwa ajili ya maandalizi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara itakayoendelea kuanzia mwezi Agosti mwaka huu.

Akizungumza wakati wa kukabidhi msaada huo makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam, Ofisa Mkuu wa Wateja Wakubwa na Serikali, Richard Makungwa alisema msaada huo umelenga kusaidia timu hiyo kwa ajili ya kujiandaa kwa ligi hiyo.

"Tumetoa msaada huu kwa timu ya Singida United kwa kwa ajili ya maandalizi ya ligi hiyo na hii ni kawaida yetu kusaidia timu mbalimbali pale tunapopata nafasi" alisema Makungwa.

Makungwa alisema licha ya benki hiyo kufanya shughuli za kibenki pia imejikita kuinua michezo nchini kwa kutoa msaada wa vifaa vya michezo.

Alitaja vifaa walivyotoa msaada kwa timu hiyo ni viatu vya mpira wa miguu, jezi na mipira vyote vikiwa na thamani ya sh.milioni 10.

Katibu wa timu hiyo Abdurahman Sima alisema vifaa hivyo walivyopata vitatumika kwa lengo lililokusudiwa na si vinginevyo."Tunaishukuru benki ya NMB kwa msaada huu tunaomba wadau wengine kuiga mfano wa benki hii " alisema Sima.
Ofisa Mkuu wa Wateja Wakubwa na Serikali wa Benki ya NMB, Richard Makungwa (kulia), akimkabidhi Katibu wa Timu ya Singida United, Abdurahman Sima,  mipira na vifaa vingine vya michezo vyenye thamani ya sh,milioni 10 Dar es Salaam kwa ajili ya maandalizi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara itakayoanza Agosti mwaka huu.
Katibu wa Timu ya Singida United, Abdurahman Sima (kushoto), akizungumza wakati wa hafla fupi ya kupokea vifaa hivyo.
Ofisa Mkuu wa Wateja Wakubwa na Serikali wa Benki ya NMB, Richard Makungwa (katikati), akizungumza katika hafla ya kukabidhi vifaa hivyo. Kulia ni Mwenyekiti wa timu hiyo, Yusuph Mwandani.
Vifaa vilivyokabidhiwa vikioneshwa kwa wanahabari. imeandikwa Na Dotto Mwaibale.


Hivyo makala SINGIDA UNITED YAPOKEA MSAADA WA VIFAA VYA MICHEZO TOKA NMB

yaani makala yote SINGIDA UNITED YAPOKEA MSAADA WA VIFAA VYA MICHEZO TOKA NMB Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SINGIDA UNITED YAPOKEA MSAADA WA VIFAA VYA MICHEZO TOKA NMB mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/singida-united-yapokea-msaada-wa-vifaa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SINGIDA UNITED YAPOKEA MSAADA WA VIFAA VYA MICHEZO TOKA NMB"

Post a Comment

Loading...