Loading...
title : TTB yawaaga wasanii maarufu wa filamu kutoka China
link : TTB yawaaga wasanii maarufu wa filamu kutoka China
TTB yawaaga wasanii maarufu wa filamu kutoka China
Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Jaji Mstaafu Thomas Mihayo,akisisitiza jambo wakati akiongea katika hafla ya kuwaaga wasanii maarufu wa filamu kutoka China waliokuja nchini kwa shughuli za kisanii na kuangalia vivutio vya utalii kuwa Tanzania ni tajiri kwa vivutio vyingi vya utalii. Hafla hiyo ilifanyika kwenye Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam.
Wasanii wa kikundi cha Sanaa cha Wanne Star wakitumbuiza katika hafla ya kuwaaga wasanii maarufu wa filamu kutoka China waliokuja nchini kwa shughuli za kisanii na kuangalia vivutio vya utalii kuwa Tanzania ni tajiri kwa vivutio vyingi vya utalii. Hafla hiyo ilifanyika kwenye Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam.juzi usiku.
Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Jaji Mstaafu Thomas Mihayo (kushoto)akiteta jambo na Mwambata wa Ubalozi wa China nchini, Bw. Gou Haodong katika hafla ya kuwaaga wasanii maarufu wa filamu kutoka China waliokuja nchini kwa shughuli za kisanii na kuangalia vivutio vya utalii kuwa Tanzania ni tajiri kwa vivutio vyingi vya utalii. Hafla hiyo ilifanyika kwenye Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Utalii Tanzania(TTB), Bi. Devota Mdachi akiandaa zawadi ya shuka ya kimasai kabla ya kumkabidhi Mwenyekiti wa Bodi hiyo Jaji Mstaafu Thomas Mihayo (katikati)iliamkabidhi mmoja wa wasanii maarufu wa filamu katika hafla ya kuwaaga wasanii maarufu wa filamu kutoka China waliokuja nchini kwa shughuli za kisanii na kuangalia vivutio vya utalii kuwa Tanzania ni tajiri kwa vivutio vyingi vya utalii. Hafla hiyo ilifanyika kwenye Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa Jijini Dar es salaam.
Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Jaji Mstaafu Thomas Mihayo akimfunika shuka mmoja wa wasanii kutoka China katika hafla ya kuwaaga wasanii maarufu wa filamu kutoka China waliokuja nchini kwa shughuli za kisanii na kuangalia vivutio vya utalii kuwa Tanzania ni tajiri kwa vivutio vyingi vya utalii. Hafla hiyo ilifanyika kwenye Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam.
Hivyo makala TTB yawaaga wasanii maarufu wa filamu kutoka China
yaani makala yote TTB yawaaga wasanii maarufu wa filamu kutoka China Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TTB yawaaga wasanii maarufu wa filamu kutoka China mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/ttb-yawaaga-wasanii-maarufu-wa-filamu.html
0 Response to "TTB yawaaga wasanii maarufu wa filamu kutoka China"
Post a Comment