Loading...

BALOZI SEIF ASHIRIKI MSIBA WA MAMA MZAZI WA NAIBU KATIBU MKUU MSTAAFU WA CCM ZANZIBAR

Loading...
BALOZI SEIF ASHIRIKI MSIBA WA MAMA MZAZI WA NAIBU KATIBU MKUU MSTAAFU WA CCM ZANZIBAR - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BALOZI SEIF ASHIRIKI MSIBA WA MAMA MZAZI WA NAIBU KATIBU MKUU MSTAAFU WA CCM ZANZIBAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BALOZI SEIF ASHIRIKI MSIBA WA MAMA MZAZI WA NAIBU KATIBU MKUU MSTAAFU WA CCM ZANZIBAR
link : BALOZI SEIF ASHIRIKI MSIBA WA MAMA MZAZI WA NAIBU KATIBU MKUU MSTAAFU WA CCM ZANZIBAR

soma pia


BALOZI SEIF ASHIRIKI MSIBA WA MAMA MZAZI WA NAIBU KATIBU MKUU MSTAAFU WA CCM ZANZIBAR

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimfariji Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Zanzibar Ndugu Vuai Ali Vuai aliyefiwa na Mama yake Mzazi Bibi Mwanaisha Hassan Vuai aliyezikwa kijijini kwao Bwejuu Mkoa wa Kusini Unguja.
Waumini wa Dini ya Kiislamu wakimsalia Bibi Mwanaisha Hassan Vuai katika Msikiti wa Ijumaa Bwejuu aliyefariki Dunia jana katika Hospitali ya Global alipokuwa amelazwa akipatiwa matibabu.
Baadhi ya Waumini wa Dini ya Kiislamu na Viongozi wa Serikali na Kisiasa wakimuombea Dua Marehemu Bibi Mwanaisha Hassan Vuai baada ya kumsalia kwenye Msikiti wa Ijumaa wa Bwejuu Mkoa Kusini Unguja.
Baadhi ya Waumini wa Dini ya Kiislamu na Viongozi wa Serikali na Kisiasa wakimuombea Dua Marehemu Bibi Mwanaisha Hassan Vuai baada ya kumsalia kwenye Msikiti wa Ijumaa wa Bwejuu Mkoa Kusini Unguja.
Balozi Seif Ali Iddi kushoto akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa Kusini Unguja Nd. Ramadhan Abdullah Ali wakati wa msiba wa Mama Mzazi wa Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Zanzibar hapo Bwejuu Mkoa Kusini Unguja.

                                                     Picha na – OMPR – ZNZ.


Hivyo makala BALOZI SEIF ASHIRIKI MSIBA WA MAMA MZAZI WA NAIBU KATIBU MKUU MSTAAFU WA CCM ZANZIBAR

yaani makala yote BALOZI SEIF ASHIRIKI MSIBA WA MAMA MZAZI WA NAIBU KATIBU MKUU MSTAAFU WA CCM ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BALOZI SEIF ASHIRIKI MSIBA WA MAMA MZAZI WA NAIBU KATIBU MKUU MSTAAFU WA CCM ZANZIBAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/balozi-seif-ashiriki-msiba-wa-mama.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BALOZI SEIF ASHIRIKI MSIBA WA MAMA MZAZI WA NAIBU KATIBU MKUU MSTAAFU WA CCM ZANZIBAR"

Post a Comment

Loading...