Loading...
title : USHIRIKI WA OFISI YA WAZIRI MKUU KATIKA SHEREHE ZA MEI MOSI-DODOMA
link : USHIRIKI WA OFISI YA WAZIRI MKUU KATIKA SHEREHE ZA MEI MOSI-DODOMA
USHIRIKI WA OFISI YA WAZIRI MKUU KATIKA SHEREHE ZA MEI MOSI-DODOMA
Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakiwa kwenye maandamano ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Dunia Mjini Dodoma.
Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakipita mbele ya mgeni rasmi Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Jabir Shekimweri (hayupo pichani) wakati wa Sherehe za Mei Mosi zilizofanyika katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma.
Baadhi ya wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakiimba wimbo wa Umoja na Mshikamano wakati wa Maadhimisho ya Sherehe za Mei Mosi yaliyofanyika Uwanja wa Jamhuri Dodoma.
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Jabir Shekimweri akisoma hotuba wakati wa Sherehe za Mei Mosi zilizofanyika Uwanja wa Jamhuri Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU-DODOMA)
Hivyo makala USHIRIKI WA OFISI YA WAZIRI MKUU KATIKA SHEREHE ZA MEI MOSI-DODOMA
yaani makala yote USHIRIKI WA OFISI YA WAZIRI MKUU KATIKA SHEREHE ZA MEI MOSI-DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala USHIRIKI WA OFISI YA WAZIRI MKUU KATIKA SHEREHE ZA MEI MOSI-DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/ushiriki-wa-ofisi-ya-waziri-mkuu-katika.html
0 Response to "USHIRIKI WA OFISI YA WAZIRI MKUU KATIKA SHEREHE ZA MEI MOSI-DODOMA"
Post a Comment