Loading...

UWAPO MJINI MOSHI MAMBO YOTE UTAYAPATA EAST POINT HOTEL

Loading...
UWAPO MJINI MOSHI MAMBO YOTE UTAYAPATA EAST POINT HOTEL - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UWAPO MJINI MOSHI MAMBO YOTE UTAYAPATA EAST POINT HOTEL, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UWAPO MJINI MOSHI MAMBO YOTE UTAYAPATA EAST POINT HOTEL
link : UWAPO MJINI MOSHI MAMBO YOTE UTAYAPATA EAST POINT HOTEL

soma pia


UWAPO MJINI MOSHI MAMBO YOTE UTAYAPATA EAST POINT HOTEL

Je, wajua kwamba Wachagga wana historia ndefu ya asili yao na ya maingiliano yao na makabila mengine?  Basi kaa chonjo ufahamishwe!
Kabila la Kichagga ni mkusanyiko wa makabila madogomadogo (ya Kichagga) yaliyosambaa kijiografia kuzunguka mlima Kilimanjaro kuanzia mashariki (Tarakea, Rombo) hadi magharibi kwa Kilimanjaro (Siha, Machame). Makabila ya Kichagga ni Wa-Rombo, Wa-Vunjo ambao wanajumuisha watu wa Mwika, Mamba, Marangu, Kilema na Kirua ambayo ndio inajulikana na wengi kama Kirua Vunjo. 
Ukipenda unaweza kuwagawa watu hawa wa Vunjo kama Wa-Mwika, Wa-Mamba ,Wa-Marangu,Wa-Kilema,na Wakirua.Makabila mengine ni Wa-Old Moshi, Wa-Kibosho, na Wa-Machame, Wa-Uru, na Wa-Siha. 
Usipate shida ndugu yangu. Ukitaka kujua mengi zaidi juu ya Wachagga, ama kupanda Mlima Kilimanjaro, ama kutembelea mbuga za wanyama za Kaskazini, tembelea MOSHI ambao unasifika nchini kuwa ni mji msafi kuliko yote. 
Na unapokuwa hapo fikia EASTPOINT HOTTEL iliyopo kona ya mitaa ya Swahili na Liwali katikati ya mji wa Moshi. Ni hoteli mpya na ya kisasa inayoongoza kwa huduma bora na mandhari nzuri za Mlima Kilimanjaro.
Kwa maswali na taarifa zaidi kuhusu EASTPOINT HOTEL BOFYA HAPA



Hivyo makala UWAPO MJINI MOSHI MAMBO YOTE UTAYAPATA EAST POINT HOTEL

yaani makala yote UWAPO MJINI MOSHI MAMBO YOTE UTAYAPATA EAST POINT HOTEL Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UWAPO MJINI MOSHI MAMBO YOTE UTAYAPATA EAST POINT HOTEL mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/uwapo-mjini-moshi-mambo-yote-utayapata.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UWAPO MJINI MOSHI MAMBO YOTE UTAYAPATA EAST POINT HOTEL"

Post a Comment

Loading...