Loading...
title : WAZIRI MKUU MH. KASSIM MAJALIWA NA MATUKIO BUNGENI LEO
link : WAZIRI MKUU MH. KASSIM MAJALIWA NA MATUKIO BUNGENI LEO
WAZIRI MKUU MH. KASSIM MAJALIWA NA MATUKIO BUNGENI LEO
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Viongozi wa Chama cha Wafanyabiashara wa Pikipiki na Vipuri vyake pamoja na baadhi ya wabunge, ofisini kwake, Bungeni mjini Dodoma Mei 26, 2017. Kulia kwake ni Waziri wa Fedha na Uchumi, Dkt. Philip Mpango. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Wabunge wa Viti Maalum, Amina Makiragi na Anna Lupembe kwenye jengo la utawala la Bunge mjini Dodoma Mei 26, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Mbulu Vijijini, Fratei Massay kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Mei 26, 2017. Wapili kulia ni Mbunge wa Iramba Mashariki, Allan Kiula. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wanachuo wa Chuo Kikuu cha Makumira kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Mei 26, 2017. Kushoto ni Mbunge wa Newala Mjini, Capt. George Mkuchika. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala WAZIRI MKUU MH. KASSIM MAJALIWA NA MATUKIO BUNGENI LEO
yaani makala yote WAZIRI MKUU MH. KASSIM MAJALIWA NA MATUKIO BUNGENI LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU MH. KASSIM MAJALIWA NA MATUKIO BUNGENI LEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/waziri-mkuu-mh-kassim-majaliwa-na.html
0 Response to "WAZIRI MKUU MH. KASSIM MAJALIWA NA MATUKIO BUNGENI LEO"
Post a Comment