Loading...
title : Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Shein Aweka Jiwe la Msingi Tawi la CCM Unguja Ukuu Kae Bona.
link : Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Shein Aweka Jiwe la Msingi Tawi la CCM Unguja Ukuu Kae Bona.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Shein Aweka Jiwe la Msingi Tawi la CCM Unguja Ukuu Kae Bona.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Unguja Ukuu Kae Bona wakati wa hafla ya kuweka jiwe la Msingi la Tawi la CCM KaeBona Unguja Ukuu, akiwa katika ziara yake kutembelea Mkoa wa Kusini Unguja na kuimarisha Chama, kushoto Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Ramadhani Ali Kichupa Mbunge wa Jimbo la Tunguu Mhe Khalifa (Mimina) na Mwakilishi wa Jimbo hilo Mhe Simai Mohammed Said (MpakaBasi) wakifuatilia uzinduzi wa uwekaji wa jiwe la msingi la Tawi hilo lilioko katika jimbo lao.
Hivyo makala Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Shein Aweka Jiwe la Msingi Tawi la CCM Unguja Ukuu Kae Bona.
yaani makala yote Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Shein Aweka Jiwe la Msingi Tawi la CCM Unguja Ukuu Kae Bona. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Shein Aweka Jiwe la Msingi Tawi la CCM Unguja Ukuu Kae Bona. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/makamu-mwenyekiti-wa-ccm-zanzibar-dk.html
0 Response to "Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Shein Aweka Jiwe la Msingi Tawi la CCM Unguja Ukuu Kae Bona."
Post a Comment