Loading...
title : Filamu Fupi ya Kisogo Yazinduliwa Jijini Dar es Salaam.
link : Filamu Fupi ya Kisogo Yazinduliwa Jijini Dar es Salaam.
Filamu Fupi ya Kisogo Yazinduliwa Jijini Dar es Salaam.
Msanii wa Filamu nchini Salim Ahmed maarufu Gabo Zigamba (kushoto) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa filamu yake fupi ya Kisogo mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kulia ni Afisa Mawasiliano wa Kampuni ya Sarafu Media Bw. Myovela Mfwaisa.
Msanii wa Filamu nchini Salim Ahmed maarufu Gabo Zigamba (kushoto) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa filamu yake fupi ya Kisogo mapema hii leo jijini Dar es Salaam, katikati ni Afisa Habari wa Kampuni ya Sarafu Media Bw. Myovela Mfwaisa na kulia ni Mtaalam wa TEHAMA toka Kampuni ya Uhondo Bw. Amon John.
Afisa Habari wa Kampuni ya Sarafu Media Bw. Myovela Mfwaisa (katikati) kushoto akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa filamu fupi ya Kisogo mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kushoto Msanii wa filamu hiyo Bw. Salim Ahmed maarufu Gabo Zigamba na kulia ni Mtaalam wa TEHAMA toka Kampuni ya Uhondo Bw. Amon John.
Pix 03 & 04: Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia filamu fupi ya Kisogo wakati ikizinduliwa na msanii wa filamu hiyo Salim Ahmed maarufu Gabo Zigamba.
Picha zote na Eliphace Marwa – Maelezo
Hivyo makala Filamu Fupi ya Kisogo Yazinduliwa Jijini Dar es Salaam.
yaani makala yote Filamu Fupi ya Kisogo Yazinduliwa Jijini Dar es Salaam. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Filamu Fupi ya Kisogo Yazinduliwa Jijini Dar es Salaam. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/filamu-fupi-ya-kisogo-yazinduliwa.html
0 Response to "Filamu Fupi ya Kisogo Yazinduliwa Jijini Dar es Salaam."
Post a Comment