Loading...

Jnag'ombe Boys yabanwa na watoto wa mjini yatoka sare 0-0

Loading...
Jnag'ombe Boys yabanwa na watoto wa mjini yatoka sare 0-0 - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Jnag'ombe Boys yabanwa na watoto wa mjini yatoka sare 0-0, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Jnag'ombe Boys yabanwa na watoto wa mjini yatoka sare 0-0
link : Jnag'ombe Boys yabanwa na watoto wa mjini yatoka sare 0-0

soma pia


Jnag'ombe Boys yabanwa na watoto wa mjini yatoka sare 0-0

Kikosi cha timu ya Kombaini ya Wilaya ya mjini

Na: Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar.

Timu ya Soka ya Kombain ya Wilaya ya Mjini na Jang'ombe Boys zimeshindwa kutambiana baada ya kutoka sare ya 0-0 katika mchezo maalum wa kirafiki uliosukumwa jana Jumatano saa 3 za usiku katika uwanja wa Amaan.

Mjini watacheza mchezo mwengine wa kirafiki leo Alhamis kuanzia saa 10:15 za jioni dhidi ya timu ya Gulioni ambayo inashiriki ligi daraja la Pili Wilaya ya Mjini.

Kiingilio cha mchezo huo ni Shilingi Elfu moja kwa majukwaa ya kawaida na V.I.P ni shilingi Elfu mbili.

Kombain ya Mjini wanajiandaa na Mashindano ya Rolling Stone yanayotarajiwa kuanza July 9 hadi July 19, 2017 huko Mburu Manyara wakati Jang'ombe boys wanajiandaa na kuendelea kucheza hatua ya 8 bora ligi kuu soka ya Zanzibar.


Hivyo makala Jnag'ombe Boys yabanwa na watoto wa mjini yatoka sare 0-0

yaani makala yote Jnag'ombe Boys yabanwa na watoto wa mjini yatoka sare 0-0 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Jnag'ombe Boys yabanwa na watoto wa mjini yatoka sare 0-0 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/jnagombe-boys-yabanwa-na-watoto-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Jnag'ombe Boys yabanwa na watoto wa mjini yatoka sare 0-0"

Post a Comment

Loading...