Loading...

JPM AKIZUNGUMZA BAADA YA KUPOKEA RIPOTI YA PILI YA MADINI

Loading...
JPM AKIZUNGUMZA BAADA YA KUPOKEA RIPOTI YA PILI YA MADINI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JPM AKIZUNGUMZA BAADA YA KUPOKEA RIPOTI YA PILI YA MADINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JPM AKIZUNGUMZA BAADA YA KUPOKEA RIPOTI YA PILI YA MADINI
link : JPM AKIZUNGUMZA BAADA YA KUPOKEA RIPOTI YA PILI YA MADINI

soma pia


JPM AKIZUNGUMZA BAADA YA KUPOKEA RIPOTI YA PILI YA MADINI


Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza baada ya kupokea ripoti ya pili ya Kamati ya Wachumi na Wanasheria aliyoiunda kwa ajili ya kuchunguza Mchanga wa Madini unaosafirishwa kwenda nje ya nchi, Ikulu jijini Dar es salaam leo. Katika ripoti hiyo iliyotolewa na Kamati imebaini kuwa Kampuni ya ACACIA MINE PLC haikusajiliwa nchini wala haina hati ya usajili na inafanya biashara ya madini nchini kinyume cha sheria, Pia Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Prof. Nehemia Osoro alisema kuwa Serikali imepoteza Kodi ya Mapato ya kiasi cha sh. trilioni 55 tangu mwaka 1998 hadi Machi 2017 katika usafirishaji wa makinikia, bilioni 94 Kodi ya Zuio ambayo Tanzania imepoteza tangu 1998 hadi Machi 2017 na kufanya Jumla ya thamani ya madini yaliyosafirishwa nje ya nchi kati ya 1998 hadi 2017 kwa Kiwango cha wastani ni trilioni 188.58.

TAARIFA KAMILI ITAKUJIA BAADAE KIDOGO


Hivyo makala JPM AKIZUNGUMZA BAADA YA KUPOKEA RIPOTI YA PILI YA MADINI

yaani makala yote JPM AKIZUNGUMZA BAADA YA KUPOKEA RIPOTI YA PILI YA MADINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JPM AKIZUNGUMZA BAADA YA KUPOKEA RIPOTI YA PILI YA MADINI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/jpm-akizungumza-baada-ya-kupokea-ripoti.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "JPM AKIZUNGUMZA BAADA YA KUPOKEA RIPOTI YA PILI YA MADINI"

Post a Comment

Loading...