Loading...

KAMPUNI YA ACACIA YACHANGIA KATIKA HARAKATI ZA GGM KUCHANGISHA FEDHA KWA AJILI YA MAPAMBANO YA VITA DHIDI YA UKIMWI.

Loading...
KAMPUNI YA ACACIA YACHANGIA KATIKA HARAKATI ZA GGM KUCHANGISHA FEDHA KWA AJILI YA MAPAMBANO YA VITA DHIDI YA UKIMWI. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KAMPUNI YA ACACIA YACHANGIA KATIKA HARAKATI ZA GGM KUCHANGISHA FEDHA KWA AJILI YA MAPAMBANO YA VITA DHIDI YA UKIMWI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KAMPUNI YA ACACIA YACHANGIA KATIKA HARAKATI ZA GGM KUCHANGISHA FEDHA KWA AJILI YA MAPAMBANO YA VITA DHIDI YA UKIMWI.
link : KAMPUNI YA ACACIA YACHANGIA KATIKA HARAKATI ZA GGM KUCHANGISHA FEDHA KWA AJILI YA MAPAMBANO YA VITA DHIDI YA UKIMWI.

soma pia


KAMPUNI YA ACACIA YACHANGIA KATIKA HARAKATI ZA GGM KUCHANGISHA FEDHA KWA AJILI YA MAPAMBANO YA VITA DHIDI YA UKIMWI.

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt Tulia Ackson akitia saini katika kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika lango la kupandia mlima Kilimanjaro,lango la Machame kwa ajili ya kutoa Baraka kwa washiriki wa changamoto ya kupanda mlima kwa lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya watu wanaoishi na Virusi vya Ukimwi zoezi linaloratibiwa na Kampuni ya Geita Gold Mining (GGM).
Mgeni rasmi katika shughuli ya kupanda Mlima Kilimanjaro kwa ajili ya kuchangisha fedha za mapambano Vita ya Ukiwmwi ,Dkt Tulia Ackson akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mshikizi ,Mrisho Gambo (kushoto) na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ukimwi na Dawa za kulevya ,Dkt Faustine Ndugulile wakiimba wakipiga makofi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Geita Gold Mining (GGM) Terry Melpeter akizungumza katika shughuli hiyo iliyofanyika katika lango la Machame.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro mshikizi Mrisho Gambo akizungumza wakati wa shuguli hiyo ambayo hufanyika kila mwaka.
Zoezi la kuapnda Mlima likianza rasi huku likiongozwa na Naibu Spika ,Dkt Tulia Ackson ,Mrisho Mpoto akiongoza kwa nyimbo za kuhamasisha.
Zoezi la kupanda lilianza huku mvua ikinyesha,



Hivyo makala KAMPUNI YA ACACIA YACHANGIA KATIKA HARAKATI ZA GGM KUCHANGISHA FEDHA KWA AJILI YA MAPAMBANO YA VITA DHIDI YA UKIMWI.

yaani makala yote KAMPUNI YA ACACIA YACHANGIA KATIKA HARAKATI ZA GGM KUCHANGISHA FEDHA KWA AJILI YA MAPAMBANO YA VITA DHIDI YA UKIMWI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KAMPUNI YA ACACIA YACHANGIA KATIKA HARAKATI ZA GGM KUCHANGISHA FEDHA KWA AJILI YA MAPAMBANO YA VITA DHIDI YA UKIMWI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/kampuni-ya-acacia-yachangia-katika.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KAMPUNI YA ACACIA YACHANGIA KATIKA HARAKATI ZA GGM KUCHANGISHA FEDHA KWA AJILI YA MAPAMBANO YA VITA DHIDI YA UKIMWI."

Post a Comment

Loading...