Loading...
title : KATIBU MKUU MAENDELEO YA JAMII ATEMBELEA NA KUKAGUA MAKAZI YA WAZEE NJIRO YALIYOPO MOSHI MKOANI KILIMANJARO.
link : KATIBU MKUU MAENDELEO YA JAMII ATEMBELEA NA KUKAGUA MAKAZI YA WAZEE NJIRO YALIYOPO MOSHI MKOANI KILIMANJARO.
KATIBU MKUU MAENDELEO YA JAMII ATEMBELEA NA KUKAGUA MAKAZI YA WAZEE NJIRO YALIYOPO MOSHI MKOANI KILIMANJARO.
Afisa Mfawidhi wa Kituo cha Makazi ya kulea wazee ya Njiro Bibi Ndeta Tenga (kushoto) akifafanua jambo kwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto(Maendeleo yaJamii) Bi. Sihaba Nkinga(kulia) wakati Katibu Mkuu huyo alipotembelea katika makazi hayo hivi karibuni.
Afisa Mfawidhi wa Kituo cha Makazi ya kulea wazee ya Njiro Bibi Ndeta Tenga (katikati) akimuonesha mazingira ya kituo hicho Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto(Maendeleo yaJamii) Bi. Sihaba Nkinga(kushoto) wakati Katibu Mkuu huyo alipotembelea katika makazi hayo hivi karibuni.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto(Maendeleo yaJamii) Bi. Sihaba Nkinga akisalimiana na wazee mbalimbali waishio katika Kituo cha Makazi ya kulea wazee ya Njiro wakati alipotembelea katika makazi hayo hivi karibuni.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto (Maendeleo yaJamii) Bi. Sihaba Nkinga(kushoto) akisalimiana na na Mwenyekiti wa wazee waishio katika Makazi ya kulea wazee ya Njiro yaliyopo Moshi Mkoani kilimanjaro Bw.Nyasi Athanas wakati Katibu Mkuu huyo alipotembelea katika makazi hayo hivi karibuni.
Hivyo makala KATIBU MKUU MAENDELEO YA JAMII ATEMBELEA NA KUKAGUA MAKAZI YA WAZEE NJIRO YALIYOPO MOSHI MKOANI KILIMANJARO.
yaani makala yote KATIBU MKUU MAENDELEO YA JAMII ATEMBELEA NA KUKAGUA MAKAZI YA WAZEE NJIRO YALIYOPO MOSHI MKOANI KILIMANJARO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KATIBU MKUU MAENDELEO YA JAMII ATEMBELEA NA KUKAGUA MAKAZI YA WAZEE NJIRO YALIYOPO MOSHI MKOANI KILIMANJARO. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/katibu-mkuu-maendeleo-ya-jamii_5.html
0 Response to "KATIBU MKUU MAENDELEO YA JAMII ATEMBELEA NA KUKAGUA MAKAZI YA WAZEE NJIRO YALIYOPO MOSHI MKOANI KILIMANJARO."
Post a Comment