Loading...
title : TANZIA: BALOZI CISCO MTIRO AFARIKI DUNIA
link : TANZIA: BALOZI CISCO MTIRO AFARIKI DUNIA
TANZIA: BALOZI CISCO MTIRO AFARIKI DUNIA
Mkuu wa Itifaki mstaafu Balozi Cisco Mtiro amefariki dunia katika hospitali ya Aga Khan alikokuwa amelazwa kwa matibabu.
Kwa mujibu wa familia yake, msiba upo nyumbani kwa marehemu mikocheni B jijini Dar es salaam.
Taratibu za mazishi zinaendelea na mtatangaziwa mara tu itapokamilika.
Mola aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi - AMINA
Hivyo makala TANZIA: BALOZI CISCO MTIRO AFARIKI DUNIA
yaani makala yote TANZIA: BALOZI CISCO MTIRO AFARIKI DUNIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TANZIA: BALOZI CISCO MTIRO AFARIKI DUNIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/tanzia-balozi-cisco-mtiro-afariki-dunia.html
0 Response to "TANZIA: BALOZI CISCO MTIRO AFARIKI DUNIA"
Post a Comment