Loading...
title : Kigoma Wamtawaza Bulembo Kuwa Kiongozi Anayehishimika na Kumvisha Mpuzu ya Waha.
link : Kigoma Wamtawaza Bulembo Kuwa Kiongozi Anayehishimika na Kumvisha Mpuzu ya Waha.
Kigoma Wamtawaza Bulembo Kuwa Kiongozi Anayehishimika na Kumvisha Mpuzu ya Waha.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM,Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania, Alhaj Abdallah Bulembo, akivalishwa vazi aina ya Mpuzu la heshima la Waha, kumtawaza kuwa kiongozi anayeheshimika, wakati wa kikao chake na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM kutoka wilaya za Uvinza, Kigoma Vijijini na Kigoma mjini, akiwa katika ziara ya Kichama mkoani Kigoma, leo. Kikao hicho kiliwahusisha pia Mabalozi, Watendaji wa Chama na wale wa Serikali. Anayemvisha ni Mzee Jafari Nkubebo

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM,Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania, Alhaj Abdallah Bulembo, akiwa amekalia kigoda, baada ya kuvalishwa vazi aina ya Mpuzu la heshima la Waha, kumtawaza kuwa kiongozi anayeheshimika, wakati wa kikao chake na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM kutoka wilaya za Uvinza, Kigoma Vijijini na Kigoma mjini, akiwa katika ziara ya Kichama mkoani Kigoma, leo. Kikao hicho kiliwahusisha pia Mabalozi, Watendaji wa Chama na wale wa Serikali. Anayemvisha ni Mzee Jafari Nkubebo
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kigoma, Dk. Amani Waalid Kaburou aki mkabidhi mkuki, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania, Alhaj Abdallah Bulembo, baada ya kumvalishwa vazi aina ya Mpuzu la heshima la Waha, kumtawaza kuwa kiongozi anayeheshimika,
Hivyo makala Kigoma Wamtawaza Bulembo Kuwa Kiongozi Anayehishimika na Kumvisha Mpuzu ya Waha.
yaani makala yote Kigoma Wamtawaza Bulembo Kuwa Kiongozi Anayehishimika na Kumvisha Mpuzu ya Waha. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Kigoma Wamtawaza Bulembo Kuwa Kiongozi Anayehishimika na Kumvisha Mpuzu ya Waha. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/kigoma-wamtawaza-bulembo-kuwa-kiongozi.html
0 Response to "Kigoma Wamtawaza Bulembo Kuwa Kiongozi Anayehishimika na Kumvisha Mpuzu ya Waha."
Post a Comment