Loading...
title : RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MKUU WA MASUALA YA KIMATAIFA WA CANADA
link : RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MKUU WA MASUALA YA KIMATAIFA WA CANADA
RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MKUU WA MASUALA YA KIMATAIFA WA CANADA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Bw. Marc-Andre Fredette Mkurugenzi Mkuu Masuala ya Kimataifa wa Canada alipotembelea na kuzungumza nae Ikulu Jijini Dar es salaam,Kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt.Agustine Mahiga .Desemba 10,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Bw. Marc-Andre Fredette Mkurugenzi Mkuu Masuala ya Kimataifa wa Canada alipotembelea Ikulu Jijini Dar es salaam ambapo Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt.Agustine Mahiga alihudhuria mazungumzo hayo.Desemba 10,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Bw. Marc-Andre Fredette Mkurugenzi Mkuu Masuala ya Kimataifa wa Canada alipotembelea na kuzungumza nae Ikulu Jijini Dar es salaam.Mazungumzo ambayo pia Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt.Agustine Mahiga alihudhuria.Desemba 10,2018. . PICHA NA IKULU
Hivyo makala RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MKUU WA MASUALA YA KIMATAIFA WA CANADA
yaani makala yote RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MKUU WA MASUALA YA KIMATAIFA WA CANADA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MKUU WA MASUALA YA KIMATAIFA WA CANADA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/rais-dkt-magufuli-akutana-na-kufanya_10.html
0 Response to "RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MKUU WA MASUALA YA KIMATAIFA WA CANADA"
Post a Comment