Loading...

Naibu Waziri Viwanda Atembelea Eneo Litakalotumiwa Kubangua Korosho ya Serikali

Loading...
Naibu Waziri Viwanda Atembelea Eneo Litakalotumiwa Kubangua Korosho ya Serikali - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Naibu Waziri Viwanda Atembelea Eneo Litakalotumiwa Kubangua Korosho ya Serikali, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Naibu Waziri Viwanda Atembelea Eneo Litakalotumiwa Kubangua Korosho ya Serikali
link : Naibu Waziri Viwanda Atembelea Eneo Litakalotumiwa Kubangua Korosho ya Serikali

soma pia


Naibu Waziri Viwanda Atembelea Eneo Litakalotumiwa Kubangua Korosho ya Serikali



Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhandisi Stella Manyanya, akiwaonyesha mtambo maalum wa kuchemsha korosho wataalamu kutoka Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Naliendele. Wataalam hao wametembelea eneo la SIDO kujiridhisha kama linafaa kwa ajili ya kuanza kubangua korosho iliyonunuliwa na serikali.
Kaimu Meneja wa SIDO mkoa wa Mtwara, Zamla Dongwala, akimuonyesha mashine ya kukausha korosho Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji (hayupo pichani) wakati alipotembelea eneo la SIDO, mkoani Mtwara leo. Eneo hilo ni moja ya maeneo yaliyochaguliwa kuanza kutumiwa wa wabanguaji wa korosho wadogo kubangua korosho zilizonunuliwa na serikali.
Fundi umeme akiwa kwenye hatua za mwisho kukamilisha matengenezo ya mashine ya kuchambua korosho kama alivyokutwa na mpiga picha wetu eneo la SIDO mjini Mtwara leo. (Picha na Idara ya Habari-MAELEZO


Hivyo makala Naibu Waziri Viwanda Atembelea Eneo Litakalotumiwa Kubangua Korosho ya Serikali

yaani makala yote Naibu Waziri Viwanda Atembelea Eneo Litakalotumiwa Kubangua Korosho ya Serikali Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Naibu Waziri Viwanda Atembelea Eneo Litakalotumiwa Kubangua Korosho ya Serikali mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/naibu-waziri-viwanda-atembelea-eneo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Naibu Waziri Viwanda Atembelea Eneo Litakalotumiwa Kubangua Korosho ya Serikali"

Post a Comment

Loading...