Loading...

MAMA JANETH MAGUFULI ATOA VYAKULA KWA VITUO NANE VYA KULELEA WATOTO YATIMA

Loading...
MAMA JANETH MAGUFULI ATOA VYAKULA KWA VITUO NANE VYA KULELEA WATOTO YATIMA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAMA JANETH MAGUFULI ATOA VYAKULA KWA VITUO NANE VYA KULELEA WATOTO YATIMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAMA JANETH MAGUFULI ATOA VYAKULA KWA VITUO NANE VYA KULELEA WATOTO YATIMA
link : MAMA JANETH MAGUFULI ATOA VYAKULA KWA VITUO NANE VYA KULELEA WATOTO YATIMA

soma pia


MAMA JANETH MAGUFULI ATOA VYAKULA KWA VITUO NANE VYA KULELEA WATOTO YATIMA

 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimkabidhi Hajat Mwanaisha Magambo mkuu wa kituo cha New Life Orphanage cha Boko Dawasco kwa niaba ya viongozi wa  vituo nane vya kulelea yatima na watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu waliopewa vyakula kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani pamoja na sikukuu ya Eid el Fitr na Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli  Ikulu  jijini Dar es salaam leo Juni 20, 2017. 

Vituo vilivyopkea vyakula hivyo ni pamoja na New Life kilichopo Boko Dawasco chanye watoto 121, Charambe Islamic kilichopo Charambe (watoto 54), Mwandaliwa Centre kilichopo Mbweni (watoto 94) Al Madina Children Home cha Tandale ( watoto 65), Ijangozaidia Orphanage Centre kilichopo Sinza (watoto 1030, Azam Orphanage kilichopo Mbagala (watoto 51), Hiari Orphanage kilichopo Chang'ombe (watoto41) na CHAKUWAMA (watoto 64) kilichipo Sinza.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimsabahi mmoja wa yatima baada ya kumkabidhi vyakula Hajat Mwanaisha Magambo kutoka kituo cha New Life Orphanage cha Boko Dawasco kwa niaba ya viongozi wa  vituo nane vya kulelea yatima na watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu waliopewa vyakula kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani pamoja na sikukuu ya Eid el Fitr na Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli  Ikulu  jijini Dar es salaam leo Juni 20, 2017.
  Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisalimiana na viongozi wa vituo nane vya kulelea yatima na watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu kabla ya kuwakabidhi vyakula kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani pamoja na sikukuu ya Eid el Fitr Ikulu  jijini Dar es salaam leo Juni 20, 2017.


Hivyo makala MAMA JANETH MAGUFULI ATOA VYAKULA KWA VITUO NANE VYA KULELEA WATOTO YATIMA

yaani makala yote MAMA JANETH MAGUFULI ATOA VYAKULA KWA VITUO NANE VYA KULELEA WATOTO YATIMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAMA JANETH MAGUFULI ATOA VYAKULA KWA VITUO NANE VYA KULELEA WATOTO YATIMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/mama-janeth-magufuli-atoa-vyakula-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAMA JANETH MAGUFULI ATOA VYAKULA KWA VITUO NANE VYA KULELEA WATOTO YATIMA"

Post a Comment

Loading...