Loading...

NMB yafutarisha Pemba

Loading...
NMB yafutarisha Pemba - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NMB yafutarisha Pemba, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NMB yafutarisha Pemba
link : NMB yafutarisha Pemba

soma pia


NMB yafutarisha Pemba

Mkuu wa Mkoa Pemba Kusini Mhe. Mwanajuma Majidi Abdalallah (Kulia) akipokea zawadi maalumu kwa ajili ya Ramadhani kutoka kwa Meneja wa NMB kanda ya Dar es salaam, Bi. Vicky Bishubo (kushoto) mara baada ya kumalizika kwa tafrija ya futari iliyoandaliwa na Benki ya NMB kwaajili ya Wateja wake walio kwenye mfungo Mtukufu wa Ramadhani Mjini Pemba. Hafla hii ya Futari ilifanyika mwishoni mwa wiki Mjini Pemba- Zanzibar.
Meneja Mwandamizi wa kitengo cha wateja Binafsi wa NMB - Omari Mtiga (Kulia) akimkabidhi Afisa Tawala Mkoa wa Pemba, Bwana Yussuf Mohammed Ali zawadi maalumu kwa ajili ya Ramadhani iliyotolewa na Meneja wa NMB kanda ya Dar es salaam, Bi. Vicky Bishubo (hayupo pichani) mara baada ya kumalizika kwa tafrija ya futari iliyoandaliwa na Benki ya NMB kwa ajili ya wateja wake walio kwenye mfungo Mtukufu wa Ramadhani Mjini Pemba.
Sehemu ya wageni waalikwa ambao walihudhuria tafrija ya futari iliyoandaliwa na Benki ya NMB kwaajili ya Wateja wake walio kwenye mfungo Mtukufu wa Ramadhani. Hafla hii ya Futari ilifanyika Mjini Pemba-Zanzibar.
Maofisa wa Benki ya NMB wakiwa kwenye picha ya pamoja na Mku wa Mkoa Pemba Kusini, Mhe. Mwanajuma Majidi Abdalallah (Wa nne kutoka kushoto) mara baada ya kumalizika kwa tafrija ya futari iliyoandaliwa na Benki ya NMB kwaajili ya Wateja wake walio kwenye mfungo Mtukufu wa Ramadhani Mjini Pemba. Hafla hii ya Futari ilifanyika mwishoni mwa wiki Mjini Pemba.

Maofisa wa Benki ya NMB wakiwa kwenye picha ya pamoja na Mku wa Mkoa Pemba Kusini, Mhe. Mwanajuma Majidi Abdalallah (Wa nne kutoka kushoto) mara baada ya kumalizika kwa tafrija ya futari iliyoandaliwa na Benki ya NMB kwaajili ya Wateja wake walio kwenye mfungo Mtukufu wa Ramadhani Mjini Pemba. Hafla hii ya Futari ilifanyika mwishoni mwa wiki Mjini Pemba.


Hivyo makala NMB yafutarisha Pemba

yaani makala yote NMB yafutarisha Pemba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NMB yafutarisha Pemba mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/nmb-yafutarisha-pemba.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NMB yafutarisha Pemba"

Post a Comment

Loading...