Loading...
title : OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU(NBS) YATOA ELIMU KWA WADAU KATIKA MAHADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA
link : OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU(NBS) YATOA ELIMU KWA WADAU KATIKA MAHADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA
OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU(NBS) YATOA ELIMU KWA WADAU KATIKA MAHADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA
Mtakwimu, Jovitha Rugemalila akiwa na Mkutubi wa Nilam Mgassa kutoka ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wakitoa elimu kwa wadau wa Takwimu waliotembelea maonesho ya wiki ya utumishi wa Umma yaliyofanyika nje ya ofisi ya Taifa ya Takwimu jijini Dar es Salaam, ambapo ofsi hiyo hutoa elimu kwa wadau na wakazi wote wa jiji ambao hupata fursa ya kukutana na wataalam mbalimbali kutoka ofsi hiyo.Picha na Humphrey Shao wa Globu ya Jamii.
Mtakwimu, Jovitha Rugemalila akiwa na Mkutubi wa Nilam Mgassa kutoka ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wakitoa elimu kwa wanafunzi wa shule ya sekondari Royola ya Jijini Dar es Salaam ambao walifika katika eneo hilo kwa ajili ya kujifunza masuala ya takwimu.
Mtakwimu, Jovitha Rugemalila , akitoa elimu ya masuala ya Takwimu kwa mmoja wa wadau wa Takwimu waliofika kujifunza katika maenesho ya wiki ya Utumishi wa Umma ynayofanyika mbele ya ofisi hiyo iliopo barabara ya kivukoni Jijini Dar es Salaam
Hivyo makala OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU(NBS) YATOA ELIMU KWA WADAU KATIKA MAHADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA
yaani makala yote OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU(NBS) YATOA ELIMU KWA WADAU KATIKA MAHADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU(NBS) YATOA ELIMU KWA WADAU KATIKA MAHADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/ofisi-ya-taifa-ya-takwimunbs-yatoa.html
0 Response to "OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU(NBS) YATOA ELIMU KWA WADAU KATIKA MAHADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA"
Post a Comment