Loading...
title : KUMBE KINGUNGE BADO CCM? AMWELEZA JPM KUWA HAWEZI KWENDA KINYUME NA CCM.
link : KUMBE KINGUNGE BADO CCM? AMWELEZA JPM KUWA HAWEZI KWENDA KINYUME NA CCM.
KUMBE KINGUNGE BADO CCM? AMWELEZA JPM KUWA HAWEZI KWENDA KINYUME NA CCM.
Leo Rais Magufuli amemjulia hali Mzee Kingunge Ngombale Mwiru aliyelazwa katika wodi ya Mwaisela, Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Mzee Kingunge anatibiwa majeraha baada ya kushambuliwa na mbwa. Akiwa katika kitanda cha hospitali amemwambia Rais Magufuli kuwa CCM ni chama chake na amekiunda yeye.
“CCM ni chama changu nimetoka tu, tumeachana lakini nimefanya kazi zote, nimekiunda mimi, hakiwezi kuwa kinyume changu,”– Mzee Kingunge
==>Msikilize Hapo Chini
==>Msikilize Hapo Chini
Hivyo makala KUMBE KINGUNGE BADO CCM? AMWELEZA JPM KUWA HAWEZI KWENDA KINYUME NA CCM.
yaani makala yote KUMBE KINGUNGE BADO CCM? AMWELEZA JPM KUWA HAWEZI KWENDA KINYUME NA CCM. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KUMBE KINGUNGE BADO CCM? AMWELEZA JPM KUWA HAWEZI KWENDA KINYUME NA CCM. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/kumbe-kingunge-bado-ccm-amweleza-jpm.html
0 Response to "KUMBE KINGUNGE BADO CCM? AMWELEZA JPM KUWA HAWEZI KWENDA KINYUME NA CCM."
Post a Comment