Loading...
title : TUMA YAANDAA Kongamano la Wasanii katika Jijini Mbeya
link : TUMA YAANDAA Kongamano la Wasanii katika Jijini Mbeya
TUMA YAANDAA Kongamano la Wasanii katika Jijini Mbeya
CHAMA CHA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA TANZANIA (TUMA) TANZANIA URBAN MUSIC ASSOCIATION Inakuletea Kongamano la Wasanii katika Jiji la Mbeya Watoa mada ni TUMA, BASATA, COSOTA, TRA, PCCB & NHIF.. Kuhusu : Usajili, Haki miliki, Ulipaji kodi, Maadili, Rushwa na Bima. JUMAMOSI hii, Tarehe 10/06/2017 Mahali: TUMANYENE SOCIAL HALL- Nzovwe Kuanzia saa nne asubuhi hadi saa nane na nusu mchana. HAKUNA KIINGILIO….wote mnakaribishwa #msaniijisajiliTUMA @bratonmtz
Hivyo makala TUMA YAANDAA Kongamano la Wasanii katika Jijini Mbeya
yaani makala yote TUMA YAANDAA Kongamano la Wasanii katika Jijini Mbeya Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TUMA YAANDAA Kongamano la Wasanii katika Jijini Mbeya mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/tuma-yaandaa-kongamano-la-wasanii.html
0 Response to "TUMA YAANDAA Kongamano la Wasanii katika Jijini Mbeya"
Post a Comment