Loading...
title : VODACOM WATOA MSAADA KWA WAZEE NA WATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU ZANZIBAR
link : VODACOM WATOA MSAADA KWA WAZEE NA WATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU ZANZIBAR
VODACOM WATOA MSAADA KWA WAZEE NA WATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU ZANZIBAR
Naibu Waziri Ofisi ya Rais sharia, Utumishi wa Umma na Utawala bora Zanzibar, Khamis Juma Maalim(wapili kushoto) pamoja na Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Jacquiline Materu(kushoto) wakiwakabidhi boksi la tende wazee wasiojiweza wa mjini Zanzibar ikiwa ni moja ya msaada na zawadi zilizotolewa na Vodacom Tanzania Foundation kwa ajili ya wazee hao pamoja na watoto yatima ili waweze kusherehekea sikukuu ya Ramadhani kesho kutwa,Mfuko huo wa kusaidia jamii ulitoa vyakula mbalimbali na mbuzi kwa wazee hao na watoto waishio katika mazingira magumu wa mjini humo jana.
Naibu Waziri Ofisi ya Rais sharia, Utumishi wa Umma na Utawala bora Zanzibar,Khamis Juma Maalim(kushoto) na Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Jacquiline Materu (wapili kushoto) wakiwakabidhi mbuzi wazee wasiojiweza wa mjini Zanzibar ikiwa ni moja ya msaada na zawadi zilizotolewa na Vodacom Tanzania Foundation kwa ajili ya wazee hao pamoja na watoto yatima ili waweze kusherehekea sikukuu ya Ramadhani kesho kutwa, Mfuko huo wa kusaidia jamii ulitoa vyakula mbalimbali vya kula kwa wazee hao na watoto waishio katika mazingira magumu jana.
Naibu Waziri Ofisi ya Rais sharia, Utumishi wa Umma na Utawala bora Zanzibar,Khamis Juma Maalim (kushoto) akiwakabidhi mafuta ya kula watoto waishio katika mazingira magumu wa mjini Zanzibar kwa niaba ya Vodacom Tanzania Foundation ikiwa ni moja ya zawadi zilizotolewa na mfuko huo kwa ajili ya watoto hao pamoja na wazee kusherehekea sikuu ya Ramadhani kesho kutwa, Mfuko huo wa kusaidia jamii ulitoa vyakula mbalimbali na mbuzi kwa wazee hao na watoto waishio katika mazingira magumu jana,Anaeshuhudia wapili toka kushoto ni na Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Jacquiline Materu.
Meneja biashara wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Grace Lyon akiwagawia mafuta ya kula baadhi ya watoto waishio katika mazingira magumu wa mjini Zanzibar kwa ajili ya sikukuu ya Ramadhani itakayofanyika kesho kutwa, Msaada huo ulitolewa na Vodacom Tanzania Foundation.
Mtoto aishio katika mazingira magumu wa mjini Zanzibar, Bakari Juma akipokea mafuta ya kula toka kwa mfanyakazi wa Vodacom Tanzania,Glory Mtui kwa ajili ya sikukuu ya Ramadhani itakayofanyika kesho kutwa, Mfuko wa kusaidia jamii wa kampuni hiyo”Vodacom Tanzania Foundation”ulitoa msaada wa vyakula mbalimbali kwa watoto hao na wazee wanaoshi katika mazingira magumu mjini humo jana.
Hivyo makala VODACOM WATOA MSAADA KWA WAZEE NA WATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU ZANZIBAR
yaani makala yote VODACOM WATOA MSAADA KWA WAZEE NA WATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala VODACOM WATOA MSAADA KWA WAZEE NA WATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU ZANZIBAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/vodacom-watoa-msaada-kwa-wazee-na.html
0 Response to "VODACOM WATOA MSAADA KWA WAZEE NA WATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU ZANZIBAR"
Post a Comment