SISTER FLORA NDWATA ASHINDA TUZO ZA JUMLA ZA WANAWAKE WENYE MAFANIKIO TANZANIA (TWAA) - Hallo rafiki
SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SISTER FLORA NDWATA ASHINDA TUZO ZA JUMLA ZA WANAWAKE WENYE MAFANIKIO TANZANIA (TWAA), tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala general,
makala kisiasa,
makala kitamaduni,
makala kiuchumi,
makala mambo mapya,
makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
SISTER FLORA NDWATA ASHINDA TUZO ZA JUMLA ZA WANAWAKE WENYE MAFANIKIO TANZANIA (TWAA)link :
SISTER FLORA NDWATA ASHINDA TUZO ZA JUMLA ZA WANAWAKE WENYE MAFANIKIO TANZANIA (TWAA)
SISTER FLORA NDWATA ASHINDA TUZO ZA JUMLA ZA WANAWAKE WENYE MAFANIKIO TANZANIA (TWAA)
br />
 |
Rais na Muasisi wa TWA Irene Kiwia akizungumza kwenye kongamano la siku ya wanawake Duniani lililoandaliwa na taasisi ya TWA leo jijini Dar Es Salaam |
 |
Mtoa mada, Anna Chonjo Mariki kutoka Rex & Regina Attorneys akifafanua jambo kwa watoa mada wenzake kwenye kongamano la siku ya wanawake Duniani lililofanyika leo jijini Dar Es Salaam |
 |
Mama Zakia Meghji akizungumza jambo kwa wageni waalikwa |
 |
Judy Dlamini Mwenyekiti wa Mbekani Investment akizungumza kwa wageni waalikwa |
 |
Muongoza mjadala wa kongamano la TWA Lulu Ng’wanakilala (kulia) akielezea jambo kwa wazungumzaji wa la siku ya wanawake Duniani lililofanyika leo jijini Dar Es Salaam , wanaofuata kutoka kulia ni Rebecca Gyumi, Mama Zakia Meghji, Irene Kiwia, Scholastica Kimaro na Mary Rusumbi |
 |
Mshindi wa Tuzo za jumla za TWAA(Woman of Year 2018), Sister Flora Ndwata akipokea Tuzo toka kwa Mkurugenzi Mkaazi wa Trade Mark Tanzania, John Ulanga kwenye hafla iliyofanyika leo Serena Hotel, Dar Es Salaam |
 |
Judy Dlamini Mwenyekiti wa Mbekani Investment (katikati)akimkabidhi Irene Kiwia kitabu alichozindua cha “ Equal But Different” wanaoshudia Jacquiline Maleko, Zakia Meghji na Sadaka Gandi
 |
Dkt. Hawa Kawawa (kulia)kwa niaba ya marehemu mama yake Sophia Kawawa akipokea Tuzo ya Maisha (Life Time Achievement) toka kwa Mwenyekiti wa TWA, Sadaka Gandi |
|
 |
wageni waalikwa wakifuatilia kwa makini utoaji wa Tuzo |
 |
Washindi wote wakiwa kwenye picha ya pamoja |
Hivyo makala SISTER FLORA NDWATA ASHINDA TUZO ZA JUMLA ZA WANAWAKE WENYE MAFANIKIO TANZANIA (TWAA)
yaani makala yote SISTER FLORA NDWATA ASHINDA TUZO ZA JUMLA ZA WANAWAKE WENYE MAFANIKIO TANZANIA (TWAA) Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SISTER FLORA NDWATA ASHINDA TUZO ZA JUMLA ZA WANAWAKE WENYE MAFANIKIO TANZANIA (TWAA) mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/sister-flora-ndwata-ashinda-tuzo-za_32.html
Related Posts :
Kampuni ya TanzaRice yaja na bidhaa ya mchele kuchochea ajira kwa vijana
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii.
Kampuni ya TanzaRice International Ltd imesema kuwa mchele una fursa ya ajira kubwa lakini watu bado ha… Read More...
DCB YAWASHAURI WABUNGE KUNUNUA HISA ZA BENKI HIYO
BENKI ya Biashara ya DCB ikiongozwa na Mkurugenzi Mkuu, Godfrey Ndalahwa, wametembelea Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijin… Read More...
Yaliyojiri Katika Magazeti Ya Leo Jumatatu ya Novemba 19Mwambawahabari
… Read More...
MRITHI WA PROFESA MAJI MAREFU AANZA KUUNGURUMA KOROGWE VIJIJINI
MBUNGE wa Korogwe vijijini ndugu Timotheo Mnzava, Novemba 18, 2018 amefanya mkutano wake wa kwanza na wananchi mara baada ya kuapishwa rasm… Read More...
Tigo Fiesta 2018 Dodoma, burudani ,mwanzo mwisho-Baadhi ya Wabunge wapanda jukwaani kusakata Kwaito, Bolingo
-Bill Nas, Weusi , Whozu, Rosaree waacha historia
Wabunge na viongozi wa Seri… Read More...
0 Response to "SISTER FLORA NDWATA ASHINDA TUZO ZA JUMLA ZA WANAWAKE WENYE MAFANIKIO TANZANIA (TWAA)"
Post a Comment