Loading...

IGP SIMON SIRRO AFANYA ZIARA KISIWANI PEMBA

Loading...
IGP SIMON SIRRO AFANYA ZIARA KISIWANI PEMBA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa IGP SIMON SIRRO AFANYA ZIARA KISIWANI PEMBA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : IGP SIMON SIRRO AFANYA ZIARA KISIWANI PEMBA
link : IGP SIMON SIRRO AFANYA ZIARA KISIWANI PEMBA

soma pia


IGP SIMON SIRRO AFANYA ZIARA KISIWANI PEMBA

 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro (aliyesimama), akizungumza na wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama mkoa wa kaskazini na Kusini Pemba (hawapo pichani) leo wakati alipofanya ziara ya kikazi katika Kisiwa hicho, kulia ni Mkuu wa mkoa wa Kaskazini Pemba Omar Athuman, IGP Sirro yupo kisiwani humo kwa ziara ya kikazi yenye lengo la kujitambulisha na kuzungumza na watendaji wa Jeshi hilo.
 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro, akimsikiliza Mkuu wa mkoa wa Kaskazini Pemba Omar Athuman (aliyesimama), wakati akitoa neno Mbele ya wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama mkoa wa Kaskazini na Kusini Pemba, IGP Sirro yupo kisiwani humo kwa ziara ya kikazi yenye lengo la kujitambulisha na kuzungumza na watendaji wa Jeshi hilo.
 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini  IGP Simon Sirro, akipokea salamu ya heshima ya kijeshi kutoka kwa Askari wa kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) wakati akiwasili Makao Makuu ya Jeshi la Polisi mkoa wa Kusini Pemba leo, IGP Sirro yupo kisiwani humo kwa ajili ya ziara ya kikazi yenye lengo la kujitambulisha na kuzungumza na watendaji wa Jeshi hilo.
 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini  IGP Simon Sirro, akizungumza na Askari wa kikosi cha kutumia ghasi (FFU), Mara baada ya kupokea salamu ya heshima ya kijeshi,  IGP Sirro yupo kisiwani Pemba kwa ziara ya kikazi yenye lengo la kujitambulisha na kuzungumza na watendaji wa Jeshi hilo huku akiwataka askari kufanya kazi kwa weledi na kuhakikisha suala la uhalifu na wahalifu linadhibitiwa.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala IGP SIMON SIRRO AFANYA ZIARA KISIWANI PEMBA

yaani makala yote IGP SIMON SIRRO AFANYA ZIARA KISIWANI PEMBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala IGP SIMON SIRRO AFANYA ZIARA KISIWANI PEMBA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/igp-simon-sirro-afanya-ziara-kisiwani.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "IGP SIMON SIRRO AFANYA ZIARA KISIWANI PEMBA"

Post a Comment

Loading...