Loading...

Lubeleje: Biko imeondoa changamoto zangu za kimaisha

Loading...
Lubeleje: Biko imeondoa changamoto zangu za kimaisha - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Lubeleje: Biko imeondoa changamoto zangu za kimaisha, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Lubeleje: Biko imeondoa changamoto zangu za kimaisha
link : Lubeleje: Biko imeondoa changamoto zangu za kimaisha

soma pia


Lubeleje: Biko imeondoa changamoto zangu za kimaisha

MSHINDI wa droo ya 20 ya Bahati Nasibu ya Biko, ‘Ijue Nguvu ya Buku’ iliyofanyika Jumatano iliyopita, Philipo Lubeleje, amesema kwamba donge nono alilokabidhiwa na Biko limeondoa changamoto zake za kimaisha, kutokana na ugumu wa maisha anaokutana nao kwenye majukumu yake ya kila siku.

Lubeleje anayejishughulisha na ujenzi wa nyumba jijini Dar es Salaam, alikabidhiwa fedha zake jana katika benki ya NMB jijini hapa, huku akisema amekuwa akiishi maisha magumu, hivyo anazitumia fedha zake vizuri ili akuze uchumi wake.

Akizungumza katika makabidhiano hayo, Lubereje ambaye ni mkazi wa Gongolamboto, jijini Dar es Salaam, alisema amepokea ushindi wake kwa shangwe sambamba na kumshukuru Mungu kwa kumuona, akiamini kuwa amefanya hivyo baada ya kubaini kiu yake ya kupata maendeleo ya kiuchumi.

Alisema hata kuamua kucheza bahati nasibu ya Biko kulitokana na kutafuta fursa za kupata mwangaza wa kiuchumi, akisema kuwa shughuli za ujenzi wa nyumba zina changamoto nyingi na uhaba wa kazi mara kwa mara.

“Namshukuru Mungu kwa kuniletea zawadi hii ya Sh Milioni 20 kwa kupitia Biko, hivyo naomba Watanzania wenzangu nao wacheze kwa sababu nao wanaweza kushinda kama mimi kwa kufanya miamala kwenye simu zao za Tigo Pesa, M-Pesa na Airtel Money, ambapo kama inavyotakiwa, namba ya kampuni ni 505050 na kumbukumbu ni 2456.
Mkazi wa Gongolamboto jijini Dar es Salaam, Philipo Lubeleje, akiwa kwenye furaha baada ya kukabidhiwa Sh Milioni 20 zakw kutoka wa waendeshaji wa bahati nasibu ya Biko. Makabidhiano hayo yalifanyika jana katika benki ya NMB jijini Dar es Salaam.
Mshindi wa Sh Milioni 20 ambaye ni mkazi wa Gongolamboto jijini Dar es Salaam, Philipo Lubeleje katikati mwenye fulana ya pundamilia akiwa katika picha ya pamoja na Meneja wa Huduma kwa Wateja wa Biko, Grace Kaijage wa pili kutoka kulia, wakiwa kwenye tukio la kumkabidhi Sh Milioni 20 mshindi huyo wa droo ya 20. Wengine ni ndugu zake pamoja na afisa wa NMB, jijini Dar es Salaam katika makabidhiano hayo yaliyofanyika jana.
Meneja wa Huduma kwa Wateja wa Biko, Grace Kaijage, kulia akimkabidhi Sh Milioni 20 mshindi wa droo ya 20 ya bahati nasibu ya Biko, Philipo Lubeleje katikati. Mwingine pichani ni Afisa wa NMB jijini Dar es Salaam.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala Lubeleje: Biko imeondoa changamoto zangu za kimaisha

yaani makala yote Lubeleje: Biko imeondoa changamoto zangu za kimaisha Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Lubeleje: Biko imeondoa changamoto zangu za kimaisha mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/lubeleje-biko-imeondoa-changamoto-zangu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Lubeleje: Biko imeondoa changamoto zangu za kimaisha"

Post a Comment

Loading...