Loading...

MAONESHO YA SABASABA 2017; PSPF YAWAAMBIA WANACHAMA NA WANANCHI WAENDELEE KUTEMBELEA BANDA LAO ILI KUPATA HUDUMA ZOTE WANAZOHITAJI

Loading...
MAONESHO YA SABASABA 2017; PSPF YAWAAMBIA WANACHAMA NA WANANCHI WAENDELEE KUTEMBELEA BANDA LAO ILI KUPATA HUDUMA ZOTE WANAZOHITAJI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAONESHO YA SABASABA 2017; PSPF YAWAAMBIA WANACHAMA NA WANANCHI WAENDELEE KUTEMBELEA BANDA LAO ILI KUPATA HUDUMA ZOTE WANAZOHITAJI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAONESHO YA SABASABA 2017; PSPF YAWAAMBIA WANACHAMA NA WANANCHI WAENDELEE KUTEMBELEA BANDA LAO ILI KUPATA HUDUMA ZOTE WANAZOHITAJI
link : MAONESHO YA SABASABA 2017; PSPF YAWAAMBIA WANACHAMA NA WANANCHI WAENDELEE KUTEMBELEA BANDA LAO ILI KUPATA HUDUMA ZOTE WANAZOHITAJI

soma pia


MAONESHO YA SABASABA 2017; PSPF YAWAAMBIA WANACHAMA NA WANANCHI WAENDELEE KUTEMBELEA BANDA LAO ILI KUPATA HUDUMA ZOTE WANAZOHITAJI



NA K-VIS BLOG/Khalfan Said

MFUKO wa Pensheni wa PSPF umewaahidi wananchi wanaojitokeza kwenye banda la Mfuko huo, lililoko jengo la Wizara ya Fedha na Mipango, kwenye viwanja vya Julius Nyerere maarufu kama Sabasaba, kuwa wataendelea kupatiwa huduma zote kama ambazo wamezoea kuzipata kwenye ofisi za Mfuko huo kote nchini.

Ahadi hiyo imetolewa leo Julai 6, 2017 na Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Mfuko huo, Bw. Abdul Njaidi, baada ya kuona umati mkubwa wa wananchi waliofika kupatiwa huduma mbalimbali zikiwemo zile za wanachama kujua michango yao, wananchi kujiunga na mpango wa uchangiaji wa hiari, (PSS), ambapo mtu aliyejiunga na mpango huo husajiliwa na kupatiwa kitambulisho papo kwa hapo.

"Leo idadi ya watu imeongezeka sana bila shaka wamevutiwa na huduma zetu na tunawahakikishia tutaendelea kutoa huduma bora na za haraka hadi tarehe ambayo maonesho haya yatafikia kilele kama alivyoagiza Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kuwa siku za maonesho zimeongezeka hadi Julai 13, 2017 badala ya Julai 8." Alifafanua Bw. Njaidi.

Idadi kubwa ya wananchi waliofika kwenye banda hilo ni wale wajasiriamali ambao wengi wamejiunga na mpango wa uchangiaji wa hiari ambapo moja ya faida kubwa ya kujiunga na mpango huo ni kupata fao la bima ya afya inayomuwezesha mwanachama kupatiwa matibabu yeye na wategemezi wake kwenye hospitali zilizoaishwa kote nchini.

Win-God Simon, (kushoto), Afisa wa PSPF akiwahudumia wananchi na wanachama wa Mfuko huo waliotembelea banda la PSPF leo Julai 6, 2017

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Bw.Erick Shitindi(kulia), akipokea vipeperushi vyenye taarifa mbalimbali za Mfuko wa Pensehni wa PSPF kutoka kwa Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Mfuko huo, Bw. Abdul Njaidi wakati alipotembelea banda la Mfuko huo leo Julai 6, 2017.

Wananchi waliofurika wkenye banda la PSPF, leo Julai 6, 2017
Bw. Costa wa PSPF, (kushoto), akifafanua jambo kwa wananchi hawa waliofika kwenye banda la PSPF.



Hivyo makala MAONESHO YA SABASABA 2017; PSPF YAWAAMBIA WANACHAMA NA WANANCHI WAENDELEE KUTEMBELEA BANDA LAO ILI KUPATA HUDUMA ZOTE WANAZOHITAJI

yaani makala yote MAONESHO YA SABASABA 2017; PSPF YAWAAMBIA WANACHAMA NA WANANCHI WAENDELEE KUTEMBELEA BANDA LAO ILI KUPATA HUDUMA ZOTE WANAZOHITAJI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAONESHO YA SABASABA 2017; PSPF YAWAAMBIA WANACHAMA NA WANANCHI WAENDELEE KUTEMBELEA BANDA LAO ILI KUPATA HUDUMA ZOTE WANAZOHITAJI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/maonesho-ya-sabasaba-2017-pspf.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAONESHO YA SABASABA 2017; PSPF YAWAAMBIA WANACHAMA NA WANANCHI WAENDELEE KUTEMBELEA BANDA LAO ILI KUPATA HUDUMA ZOTE WANAZOHITAJI"

Post a Comment

Loading...