Loading...

Rejista ya Wahisiwa kuwa na Kifua Kikuu(TB) yazinduliwa Mjini Dodoma

Loading...
Rejista ya Wahisiwa kuwa na Kifua Kikuu(TB) yazinduliwa Mjini Dodoma - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rejista ya Wahisiwa kuwa na Kifua Kikuu(TB) yazinduliwa Mjini Dodoma, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Rejista ya Wahisiwa kuwa na Kifua Kikuu(TB) yazinduliwa Mjini Dodoma
link : Rejista ya Wahisiwa kuwa na Kifua Kikuu(TB) yazinduliwa Mjini Dodoma

soma pia


Rejista ya Wahisiwa kuwa na Kifua Kikuu(TB) yazinduliwa Mjini Dodoma

Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikari za Mitaa (TAMISEMI) George Simbachawene akikata utembe ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa Rejista mpya ya wanaohisiwa kuwa na Kifua kikuu ambayo itaanza kutumika kwenye vituo vyote vya kutolea huduma, wakati wa Mkutano wa mwaka wa Waganga waWakuu wa Mikoa na Wilaya unaoendelea Mjini Dodoma,Kushoto ni Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Dkt.Hamisi Kigwangwalla
Dkt.Hamisi Kigwangwalla akisoma moja ya Rejista hiyo ambayo imezinduliwa rasmi leo,kulia kwake ni Waziri Simbachawane na aliyesimama kushoto ni Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI anayeshughulikia Afya Dkt. Zainabu Chaula
Waziri Simbachawene akimkabidhi Rejista hiyo Naibu Katibu Mkuu-TAMISEMI upande wa Afya Dkt. Zainabu Chaula
Baadhi ya Wakurugenzi toka Wizara ya Afya,TAMISEMI pamoja na Taasisi za Wizara ya Afya wakitambulishwa wakati wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Waganga Wakuu wa Mikoa na Wilaya unaofanyika kwenye ukumbi wa LAPF Mjini Dodoma(Picha zote na Wizara ya Afya).



Hivyo makala Rejista ya Wahisiwa kuwa na Kifua Kikuu(TB) yazinduliwa Mjini Dodoma

yaani makala yote Rejista ya Wahisiwa kuwa na Kifua Kikuu(TB) yazinduliwa Mjini Dodoma Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Rejista ya Wahisiwa kuwa na Kifua Kikuu(TB) yazinduliwa Mjini Dodoma mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/rejista-ya-wahisiwa-kuwa-na-kifua.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Rejista ya Wahisiwa kuwa na Kifua Kikuu(TB) yazinduliwa Mjini Dodoma"

Post a Comment

Loading...