Loading...
title : Mafanikio ya Kikundi Cha Ushirika Cha Kibokoni Saccos Vitongoji Pemba.
link : Mafanikio ya Kikundi Cha Ushirika Cha Kibokoni Saccos Vitongoji Pemba.
Mafanikio ya Kikundi Cha Ushirika Cha Kibokoni Saccos Vitongoji Pemba.
Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Ushirika wa Kikundi cha Kibokoni Saccos Vitongoji Pemba Ndg.Yussuf Said Seif, akitzungumza na Wanachama wa Vikundi vya Ushirika waliofanya ziara ya ijirani mwema kutembelea katika Ushirika huo kimasomo kuangalia mafanikio walipota katika kikundi cha hicho.
Baadhi ya bidhaa ambazo zimekuwa zikizalishwa na Wanaushirika wa GEP , uliopo katika Jimbo la Gando Pemba, ambavyo vimekuwa vikikosa Soko na kubakia Majumbani , Mkoba huo na mdogo ndani yake unauzwa kwa Tshs, 50,000/=.
Picha na Bakar Mussa-Pemba.
Hivyo makala Mafanikio ya Kikundi Cha Ushirika Cha Kibokoni Saccos Vitongoji Pemba.
yaani makala yote Mafanikio ya Kikundi Cha Ushirika Cha Kibokoni Saccos Vitongoji Pemba. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mafanikio ya Kikundi Cha Ushirika Cha Kibokoni Saccos Vitongoji Pemba. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/mafanikio-ya-kikundi-cha-ushirika-cha.html
0 Response to "Mafanikio ya Kikundi Cha Ushirika Cha Kibokoni Saccos Vitongoji Pemba."
Post a Comment