Loading...

MAJALIWA ASHIRIKI MAZISHI YA LINAH MWAKYEMBE MKOANI MBEYA

Loading...
MAJALIWA ASHIRIKI MAZISHI YA LINAH MWAKYEMBE MKOANI MBEYA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAJALIWA ASHIRIKI MAZISHI YA LINAH MWAKYEMBE MKOANI MBEYA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAJALIWA ASHIRIKI MAZISHI YA LINAH MWAKYEMBE MKOANI MBEYA
link : MAJALIWA ASHIRIKI MAZISHI YA LINAH MWAKYEMBE MKOANI MBEYA

soma pia


MAJALIWA ASHIRIKI MAZISHI YA LINAH MWAKYEMBE MKOANI MBEYA

mwambawahabari
PMO_3656
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Mbeya, Erasto Zambi (kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Songwe mkoani mbeya kuhudhuria mazishi ya Linah George Mwakyembe yaliyofanyika Kyela, Julai 19, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_3668
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitia saini kitabu cha maombolezo baada ya kuwasili nyumbani kwa Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe  kushiriki katika mazishi ya mke wa Waziri huyo, Linah George Mwakyembe yaliyofanyika Kyela Julai 19, 2017.  Kulia ni  mkewe Mary(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_3675
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo, Dkt.  Harisson Mwakyembe wakati wa  ibada ya mazishi ya Linah George Mwakyembe, mke wa Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo,  Dkt. Harrison Mwakyembe yaliyofanyika  Kyela Julai 19,2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_3709
Askofu, Rabison Mwakanani wa Kanisa la Evangelical Brotherhood la Mbeya akizungumza katika Ibada ya mazishi ya Linah George Mwakyembe , Mke wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sana na Michezo,Dkt. Harrison Mwakyembe yaliyofanyika Kyela, Julai 19, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_3721
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary  (wapili kushoto) wakishiriki katika ibada ya mazishi ya Marehemu, Linah George Mwakyembe, Mke wa Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo,  Dkt Harrison Mwakyembe katika mazishi yaliyofanyika  Kyela Julai 19, 2017.  Wengine pichani kutoka kushoto ni Waziri Mkuu Mstaafu, John Malecela, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya  Amos Makalla, Spika wa Bunge, Job Ndugai, Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson Mwansasu kulia ni Waziri wa  Kilimo na Mifugo,   Dkt . Charles Tizeba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_3779
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na viongozi wa dini walioongoza ibada ya mazishi ya Linah George Mwakyembe, mke wa Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo,  Dkt. Harrison Mwakyembe yaliyofanyika  Kyela Julai 19,2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_3838
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakitoa heshima za mwisho kwa marehemu, Linah George  Mwakyembe, mke wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe katika mazishi yaliyofanyika Kyela, Julai 19, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_3874
Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo, Dkt.  Harisson Mwakyembe pamoja na familia yake wakiwa pamoja na waombolezaji wakati wa Ibada ya ya mazishi ya mkewe, Linah George Mwakyembe yaliyofanyika Kyela, Julai 19, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_3898
Mwili wa Linah George Mwakyembe , mke wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe ukiteremshwa kaburini katika mazishi yaoiyofanyika Kyela, Julai 19, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_3930
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakiweka shada la Maua kwenye  kaburi la  Linah George Mwakyembe, mke wa Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe katika mazishi yaliyofanyika Kyela Julai 19, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_3936
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakiweka shada la Maua kwenye  kaburi la  Linah George Mwakyembe, mke wa Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe katika mazishi yaliyofanyika Kyela Julai 19, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Hivyo makala MAJALIWA ASHIRIKI MAZISHI YA LINAH MWAKYEMBE MKOANI MBEYA

yaani makala yote MAJALIWA ASHIRIKI MAZISHI YA LINAH MWAKYEMBE MKOANI MBEYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAJALIWA ASHIRIKI MAZISHI YA LINAH MWAKYEMBE MKOANI MBEYA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/majaliwa-ashiriki-mazishi-ya-linah.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAJALIWA ASHIRIKI MAZISHI YA LINAH MWAKYEMBE MKOANI MBEYA"

Post a Comment

Loading...