Loading...

MAZISHI YA LINAH MWAKYEMBE, KUFANYIKA LEO KIJIJI CHA IKOLO WILAYANI KYELA MKOANI MBEYA

Loading...
MAZISHI YA LINAH MWAKYEMBE, KUFANYIKA LEO KIJIJI CHA IKOLO WILAYANI KYELA MKOANI MBEYA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAZISHI YA LINAH MWAKYEMBE, KUFANYIKA LEO KIJIJI CHA IKOLO WILAYANI KYELA MKOANI MBEYA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAZISHI YA LINAH MWAKYEMBE, KUFANYIKA LEO KIJIJI CHA IKOLO WILAYANI KYELA MKOANI MBEYA
link : MAZISHI YA LINAH MWAKYEMBE, KUFANYIKA LEO KIJIJI CHA IKOLO WILAYANI KYELA MKOANI MBEYA

soma pia


MAZISHI YA LINAH MWAKYEMBE, KUFANYIKA LEO KIJIJI CHA IKOLO WILAYANI KYELA MKOANI MBEYA

Jeneza lenye mwili wa Marehemu Linah George Mwakyembe aliyekuwa Mke wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe, ukiwa nyumbani kwao katika Kijiji cha Ikolo, wilayani Kyela mkoani Mbeya. mwili wa Marehemu Linah George Mwakyembe unatarajiwa kuhifadhiwa kwenye nyumba yake ya Milele mchana huu katika Makaburi ya familia, Kijijini kwao Ikolo, wilayani humo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akilakiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Elisante Ole Gabriel alipowasili nyumbani kwa Dkt. Harrison Mwakyembe, Kijijini Ikolo, wilayani Kyela, tayari kwa Mazishi ya Marehemu Linah George Mwakyembe aliyekuwa Mke wa Dkt. Mwakyembe.
Prof. Mark Mwandosya akimfariji Dkt. Harrison Mwakyembe aliyefiwa na Mkewe, Linah George Mwakyembe wakati maandalizi ya mazishi yake, Kijijini kwao Ikolo, wilayani Kyela mkoani Mbeya.  Kushoto ni Mke wa Prof. Mwandosya, Bi. Lucy Mwandosya.
Wakuu wa Mikoa ya Lindi na Njombe, Godfrey Zambi (kushoto) na Ole Sendeka (kulia) wakiwasili nyumbani kwa  Dkt. Harrison Mwakyembe, Kijijini Ikolo, wilayani Kyela.



Hivyo makala MAZISHI YA LINAH MWAKYEMBE, KUFANYIKA LEO KIJIJI CHA IKOLO WILAYANI KYELA MKOANI MBEYA

yaani makala yote MAZISHI YA LINAH MWAKYEMBE, KUFANYIKA LEO KIJIJI CHA IKOLO WILAYANI KYELA MKOANI MBEYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAZISHI YA LINAH MWAKYEMBE, KUFANYIKA LEO KIJIJI CHA IKOLO WILAYANI KYELA MKOANI MBEYA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/mazishi-ya-linah-mwakyembe-kufanyika.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAZISHI YA LINAH MWAKYEMBE, KUFANYIKA LEO KIJIJI CHA IKOLO WILAYANI KYELA MKOANI MBEYA"

Post a Comment

Loading...