Loading...

Michezo : Waziri Mkuu Akutana na Timu ya Singida United Bungeni Mjini Dodoma

Loading...
Michezo : Waziri Mkuu Akutana na Timu ya Singida United Bungeni Mjini Dodoma - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Michezo : Waziri Mkuu Akutana na Timu ya Singida United Bungeni Mjini Dodoma, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Michezo : Waziri Mkuu Akutana na Timu ya Singida United Bungeni Mjini Dodoma
link : Michezo : Waziri Mkuu Akutana na Timu ya Singida United Bungeni Mjini Dodoma

soma pia


Michezo : Waziri Mkuu Akutana na Timu ya Singida United Bungeni Mjini Dodoma



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na timu ya Singida United, kulia ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mwigulu Nchemba kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Julai 5, 2017.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahi jambo na Kocha wa Singida United Hans van der Pluijm, kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Juni, 5, 2017 katikati ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mwigulu Nchemba.

Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mwigulu Nchemba, katika viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Julai 5, 2017.

Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akizungumza na wabunge, Sadiq Murad wa Mvomero (kushoto) na Salim Turky wa Jimbo la Mpendae (kulia) katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma Julai 5, 2017.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Kazi Vijana na Ajira na Mbunge wa Dodoma Mjini, Anthony Mavunde kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Julai 5, 2017.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Mlalo, Rashid Shangazi katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma Julai 5, 2017 katikati ni Mbunge wa Lushoto Shaaban Shekilindi.


Hivyo makala Michezo : Waziri Mkuu Akutana na Timu ya Singida United Bungeni Mjini Dodoma

yaani makala yote Michezo : Waziri Mkuu Akutana na Timu ya Singida United Bungeni Mjini Dodoma Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Michezo : Waziri Mkuu Akutana na Timu ya Singida United Bungeni Mjini Dodoma mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/michezo-waziri-mkuu-akutana-na-timu-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Michezo : Waziri Mkuu Akutana na Timu ya Singida United Bungeni Mjini Dodoma"

Post a Comment

Loading...