Loading...
title : MSEMAJI WA POLISI AKUTANA NA MKURUGENZI WA IDARA YA HABARI MAELEZO
link : MSEMAJI WA POLISI AKUTANA NA MKURUGENZI WA IDARA YA HABARI MAELEZO
MSEMAJI WA POLISI AKUTANA NA MKURUGENZI WA IDARA YA HABARI MAELEZO
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Dkt. Hassan Abbas, akizungumza na Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Barnabas Mwakalukwa, wakati Msemaji huyo alipofanya ziara ya kikazi katika Idara hiyo kwa lengo la kujitambulisha tangu alipoteuliwa na Inspekta Jenerali wa Polisi kushika nafasi hiyo.Picha na Demetrius Njimbwi wa Jeshi la Polisi.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Dkt. Hassan Abbas, akimkabidhi Jarida la Nchi yetu, Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Barnabas Mwakalukwa, wakati Msemaji huyo alipofanya ziara ya kikazi katika Idara hiyo kwa lengo la kujitambulisha tangu alipoteuliwa na Inspekta Jenerali wa Polisi kushika nafasi hiyo. .Picha na Demetrius Njimbwi wa Jeshi la Polisi.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Dkt. Hassan Abbas akimuonyesha Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Barnabas Mwakalukwa ofisi ya Msajili wa Magazeti wakati Msemaji huyo alipofanya ziara ya kikazi katika Idara hiyo kwa lengo la kujitambulisha tangu alipoteuliwa na Inspekta Jenerali wa Polisi kushika nafasi hiyo.Picha na Demetrius Njimbwi wa Jeshi la Polisi.
Hivyo makala MSEMAJI WA POLISI AKUTANA NA MKURUGENZI WA IDARA YA HABARI MAELEZO
yaani makala yote MSEMAJI WA POLISI AKUTANA NA MKURUGENZI WA IDARA YA HABARI MAELEZO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MSEMAJI WA POLISI AKUTANA NA MKURUGENZI WA IDARA YA HABARI MAELEZO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/msemaji-wa-polisi-akutana-na-mkurugenzi.html
0 Response to "MSEMAJI WA POLISI AKUTANA NA MKURUGENZI WA IDARA YA HABARI MAELEZO"
Post a Comment