Loading...

MSUVA AAGA RASMI, YANGA WASHAMALIZANA NA DIFAA HASSAN ELJADIDI YA MOROCCO

Loading...
MSUVA AAGA RASMI, YANGA WASHAMALIZANA NA DIFAA HASSAN ELJADIDI YA MOROCCO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MSUVA AAGA RASMI, YANGA WASHAMALIZANA NA DIFAA HASSAN ELJADIDI YA MOROCCO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MSUVA AAGA RASMI, YANGA WASHAMALIZANA NA DIFAA HASSAN ELJADIDI YA MOROCCO
link : MSUVA AAGA RASMI, YANGA WASHAMALIZANA NA DIFAA HASSAN ELJADIDI YA MOROCCO

soma pia


MSUVA AAGA RASMI, YANGA WASHAMALIZANA NA DIFAA HASSAN ELJADIDI YA MOROCCO


Mkuu wa kitengo cha habari na mawasiliano Yanga, Dismas Ten


Na Agness Francis, Globu ya Jamii.


Winga machachari wa timu ya Yanga Simon Msuva anatarajiwa kuondoka kuelel]kea nchini Morocco kwa ajili ya vipimo ili kujiunga na timu ya ya Difaa Hassani Eljadidi (DHJFC) inayoshiriki ligi kuu ya nchini humo.

Mkuu wa kitengo cha habari na mawasiliano Yanga, Dismas Ten amesema kuwa mchezaji Saimon Msuva anatarajia kuondoka kuelekea nchini Morocco kwa ajili ya zoezi la vipimo vya afya ili kukamilisha mchakato mzima wa usajili wa mchezaji huyo katika timu ya Difaa Hassani Eljadidi (DHJFC).

Ten amesema kuwa, walishamaliza mazungumzo na klabu hiyo kwa ajili ya kujiunga nao na wamempa baraka zote kijana wao kwa ajili ya kuanza maisha mapya ya soka nchini Morocco.

Timu hiyo iliyomaliza msimu uliopita huku ilishikilia nafasi ya pili katika nmsimamo wa ligi kuu ikiwa na pointi 59, huku WCA Casablanca wakiwa kilelelni kwa point 66 ligi kuu ya morocco, Ambayo inajumuisha timu 16 kama ilivyo ligi kuu ya Tanzania bara. 

Hata hivyo uongozi wa yanga unasubiri majibu ya vipimo vya Msuva na kuendelea na taratibu zote za kuuzwa kwa mchezaji huyo ambaye ameitumikia club hiyo misimu 5 akiwa kiungo mshambuliaji mwenye jezi namba 27.

Mapema mchana huu Msuva ameenda klabu ya Yanga kwa ajili ya kuaga na kupata baraka za viongozi wake waliokuwa nae katika maisha ya soka ndani ya Klabu ya Yanga kwa miaka mitano.


Hivyo makala MSUVA AAGA RASMI, YANGA WASHAMALIZANA NA DIFAA HASSAN ELJADIDI YA MOROCCO

yaani makala yote MSUVA AAGA RASMI, YANGA WASHAMALIZANA NA DIFAA HASSAN ELJADIDI YA MOROCCO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MSUVA AAGA RASMI, YANGA WASHAMALIZANA NA DIFAA HASSAN ELJADIDI YA MOROCCO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/msuva-aaga-rasmi-yanga-washamalizana-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MSUVA AAGA RASMI, YANGA WASHAMALIZANA NA DIFAA HASSAN ELJADIDI YA MOROCCO"

Post a Comment

Loading...