Loading...

VIONGOZI WA VYAMA VYA USHIRIKA WATAKIWA KUZINGATIA UBORA WA KUROSHO

Loading...
VIONGOZI WA VYAMA VYA USHIRIKA WATAKIWA KUZINGATIA UBORA WA KUROSHO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa VIONGOZI WA VYAMA VYA USHIRIKA WATAKIWA KUZINGATIA UBORA WA KUROSHO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : VIONGOZI WA VYAMA VYA USHIRIKA WATAKIWA KUZINGATIA UBORA WA KUROSHO
link : VIONGOZI WA VYAMA VYA USHIRIKA WATAKIWA KUZINGATIA UBORA WA KUROSHO

soma pia


VIONGOZI WA VYAMA VYA USHIRIKA WATAKIWA KUZINGATIA UBORA WA KUROSHO

Viongozi wa vyama vya ushirika Manispaa ya Mtwara Mikindani wametakiwa kuzingatia ubora wa korosho ghafi pindi wanapozipokea kwa wakulima wa zao hilo ikiwa tayari kwa kuingia katika mnada wa ununuzi wa zao hilo.

Akizungumza katika kikao na viongozi hao Mkuu wa wilaya ya Mtwara Evod Mmanda amesema kumekuwa na changamoto zilizojitokeza Katika baadhi ya maeneo msimu wa wa korosho mwaka 2017/2018 ikiwemo viongozi hao kupokea zao hilo kutoka kwa wakulima bila ya kuzingatia vigezo na sifa zilizowekwa.

Kwaupande wake Afisa ushirika kutoka tume ya maendeleo ya ushirika(TCDC),Coster Robert  amewataka viongozi hao wa ushirika kufanya kazi kwa kufuata taratibu zilizowekwa ili kuondoa mkanganyiko kati ya mkulima na mnunuzi wa zao hilo.

Baadhi ya viongozi wa vyama vya ushirika waliohudhuria kikao hicho wamesema kuwa watafanyia kazi maagizo hao ili kuondoa changamoto hizo zilizojikeza katika msimu wa korosho uliopita.

Mkuu wa mkoa huyo, Evod Mmanda ameendelea kufanya vikao na viongozi wa ushirika katika maeneo mbalimbali ya wilaya hiyo lengo ikiwa ni kuondoa changamoto zote zilizo jitokeza katika msimu wa korosho 2017/2018.
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Evod Mmanda akizungumza na viongozi wa vyama vya ushirika Manispaa ya Mtwara Mikindani  kuhusu kuzingatia ubora wa korosho ghafi pindi wanapozipokea kwa wakulima wa zao hilo ikiwa tayari kwa kuingia katika mnada wa ununuzi wa zao hilo.
.

Mkuu wa wilaya ya Mtwara 
Evod Mmanda
 na kulia kwake ni Afisa Ushirika Tume ya Maendeleo ya Ushirika (TCDC) Bw.Castor Robert wakiwa katika kikao kazi na viongozi wa vyama vya ushirika manispaa ya mtwara mikindani.

Afisa Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika Manispaa ya Mtwara Mikindani Aisha Fanuel na kulia kwake ni Afisa Tarafa Mtwara Mikindani Octavian  Lyaoembile wakiwa katika kikao kazi na viongozi wa vyama vya ushirika.








Viongozi wa vyama vya ushirika Manispaa ya Mtwara Mikindani wakiwa katika kikao kazi na Mkuu wa wilaya ya Mtwara Evod Mmanda..


Hivyo makala VIONGOZI WA VYAMA VYA USHIRIKA WATAKIWA KUZINGATIA UBORA WA KUROSHO

yaani makala yote VIONGOZI WA VYAMA VYA USHIRIKA WATAKIWA KUZINGATIA UBORA WA KUROSHO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala VIONGOZI WA VYAMA VYA USHIRIKA WATAKIWA KUZINGATIA UBORA WA KUROSHO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/viongozi-wa-vyama-vya-ushirika-watakiwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "VIONGOZI WA VYAMA VYA USHIRIKA WATAKIWA KUZINGATIA UBORA WA KUROSHO"

Post a Comment

Loading...