Loading...
title : NIC YATOA ELIMU YA BIMA KWENYE MAONYESHO YA 12 YA TCU JIJINI DAR ES SALAAM
link : NIC YATOA ELIMU YA BIMA KWENYE MAONYESHO YA 12 YA TCU JIJINI DAR ES SALAAM
NIC YATOA ELIMU YA BIMA KWENYE MAONYESHO YA 12 YA TCU JIJINI DAR ES SALAAM
Baadhi ya wakazi wa jijini Dar es Salaam, wakipewa maelezo na Afisa Mwanadamizi wa Shirikala Bima la Taifa(NIC) Konjeta Mwaipopo juu ya namna ya kujiunga na huduma za bima wakati walipotemblea banda la Shirika hilo, kwenye maonesho ya 12 ya Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) yanayoendelea kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Mkazi wa Dar es Salaam, ambaye ni mjasiriamali Manoko Marikishua (kushoto) akipewa maelezo na Afisa Bima wa shirika la Bima la Taifa (NIC)) juu ya bima ya mazao wakati alipofika kwenye banda la Shirika hilo, kwenye maonesho ya Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam.
Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam,wakipata maelezo juu ya huduma za bima toka kwa Afisa Bima wa Shirikala Bima la Taifa (NIC)) wakati walipofika kwenye banda la Shirika hilo, kwenye maonesho ya Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam
Hivyo makala NIC YATOA ELIMU YA BIMA KWENYE MAONYESHO YA 12 YA TCU JIJINI DAR ES SALAAM
yaani makala yote NIC YATOA ELIMU YA BIMA KWENYE MAONYESHO YA 12 YA TCU JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NIC YATOA ELIMU YA BIMA KWENYE MAONYESHO YA 12 YA TCU JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/nic-yatoa-elimu-ya-bima-kwenye.html
0 Response to "NIC YATOA ELIMU YA BIMA KWENYE MAONYESHO YA 12 YA TCU JIJINI DAR ES SALAAM"
Post a Comment