Loading...

Prof. Mdoe afanya mazungumzo na uongozi wa Uranium One

Loading...
Prof. Mdoe afanya mazungumzo na uongozi wa Uranium One - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Prof. Mdoe afanya mazungumzo na uongozi wa Uranium One, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Prof. Mdoe afanya mazungumzo na uongozi wa Uranium One
link : Prof. Mdoe afanya mazungumzo na uongozi wa Uranium One

soma pia


Prof. Mdoe afanya mazungumzo na uongozi wa Uranium One


Na Teresia Mhagama, DSM

Kaimu Katibu Mkuu, Wizara ya Nishati na Madini, Profesa James Mdoe amekutana na kufanya mazungumzo na uongozi wa kampuni ya Uranium One na Mantra Tanzania ambao wanamiliki leseni ya uchimbaji wa Madini ya Urani kwenye eneo la Mto Mkuju Kusini mwa Tanzania. Mantra ni sehemu  ya  kampuni ya Uranium One na kampuni ya kimataifa ya madini ya ROSATOM-ya Shirikisho la Serikali ya Urusi ya Nishati ya Nyuklia.

Kikao hicho kilijadili masuala mbalimbali ikiwemo ushirikiano kati ya Tanzania na kampuni hizo, kuporomoka kwa bei ya Urani katika soko la dunia na kampuni hizo kushirikiana na STAMICO katika miradi ya uzalishaji madini.

Rais wa Uranium One Group, Vasility Konstantinov aliishukuru Serikali ya Tanzania kwa ushirikiano inaoendelea kuutoa kwa kampuni hizo ili kuhakikisha kuwa lengo la kampuni hiyo kuendeleza mradi wa uchimbaji madini ya urani nchini linafanyika kwa ufanisi.

Konstantinov pia alitumia nafasi hiyo kukanusha habari zilizoandikwa katika baadhi ya magazeti nchini hivi karibuni kuwa kampuni ya MANTRA Tanzania imesitisha (Suspension) uchimbaji wa Madini ya Urani kwenye leseni yao iliyoko eneo la Mto Mkuju moja ya sababu ikiwa ni mabadiliko katika Sheria ya Madini.
 Kaimu Katibu Mkuu,Wizara ya Nishati na Madini,  Profesa James Mdoe akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Uranium One, Vladimir Hlavinka katika Ofisi za Wizara ya Nishati na Madini jijini Dar es Salaam. Katikati ni Rais wa Uranium One Group, Vasility Konstantinov.
 Kaimu Katibu Mkuu,Wizara ya Nishati na Madini,  Profesa James Mdoe akiwa na Rais wa Uranium One Group, Vasility Konstantinov katika Ofisi za Wizara ya Nishati na Madini jijini Dar es Salaam.
 Viongozi wa Wizara ya Nishati na Madini, Mantra Tanzania na Uranium One wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumaliza mazungumzo katika Ofisi za Wizara ya Nihati na Madini jijini Dar es Salaam. Wa nne kulia ni Kaimu Katibu Mkuu,Wizara ya Nishati na Madini,  Profesa James Mdoe,  Wa Tatu kulia ni Rais wa Uranium One Group, Vasility Konstantinov, wa Tatu kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Uranium One, Vladimir Hlavinka, wa Pili kushoto ni Kamishna wa Madini, Mhandisi Benjamin Mchwampaka, wa Pili kulia ni  Mkurugenzi Mtendaji wa Mantra Tanzania, Frederick Kibodya.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala Prof. Mdoe afanya mazungumzo na uongozi wa Uranium One

yaani makala yote Prof. Mdoe afanya mazungumzo na uongozi wa Uranium One Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Prof. Mdoe afanya mazungumzo na uongozi wa Uranium One mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/prof-mdoe-afanya-mazungumzo-na-uongozi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Prof. Mdoe afanya mazungumzo na uongozi wa Uranium One"

Post a Comment

Loading...