Loading...

RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA RASMI MAONYESHO YA 41 YA SABASABA JIJINI DAR LEO

Loading...
RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA RASMI MAONYESHO YA 41 YA SABASABA JIJINI DAR LEO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA RASMI MAONYESHO YA 41 YA SABASABA JIJINI DAR LEO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA RASMI MAONYESHO YA 41 YA SABASABA JIJINI DAR LEO
link : RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA RASMI MAONYESHO YA 41 YA SABASABA JIJINI DAR LEO

soma pia


RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA RASMI MAONYESHO YA 41 YA SABASABA JIJINI DAR LEO

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wafanyabiashara mbalimbali waliokuwa katika Ukumbi wa Mikutano wakati wa Ufunguzi wa Maonyesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa, yaliyoanza Juni 28 - Julai 8, 2017 ambapo kwa mwaka huu yameongezewa siku tano zaidi na kutarajiwa kumalizika Julai 13, 2017.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimkabishi tuzo Makamu Mkuu wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Rwekaza Mukandala ambao wameibuka washindi wa jumla katika Maonyesho ya Maonyesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa, yaliyoanza Juni 28 - Julai 8, 2017 ambapo kwa mwaka huu yameongezewa siku tano zaidi na kutarajiwa kumalizika Julai 13, 2017, yaliyozinduliwa rasmi leo jijini Dar es salaam.Kulia ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Charles Mwijage.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimkabishi tuzo Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Waziri Kindamba baada ya Kampuni yake kuibuka washindi sekta ya mawasilioano, katika Maonyesho ya Maonyesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa, yaliyoanza Juni 28 - Julai 8, 2017 ambapo kwa mwaka huu yameongezewa siku tano zaidi na kutarajiwa kumalizika Julai 13, 2017, yaliyozinduliwa rasmi leo jijini Dar es salaam. Kulia ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Charles Mwijage.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhi tuzo kwa mwakilishi wa TPDC.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhi tuzo kwa Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Maj. Gen. Gaudence Milanzi kwa niaba ya moja ya taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhi tuzo kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya ..... ambao waliibuka washindi wa tatu wa jumla katika Maonyesho ya Maonyesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa, yaliyoanza Juni 28 - Julai 8, 2017 ambapo kwa mwaka huu yameongezewa siku tano zaidi na kutarajiwa kumalizika Julai 13, 2017, yaliyozinduliwa rasmi leo jijini Dar es salaam.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI


Hivyo makala RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA RASMI MAONYESHO YA 41 YA SABASABA JIJINI DAR LEO

yaani makala yote RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA RASMI MAONYESHO YA 41 YA SABASABA JIJINI DAR LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA RASMI MAONYESHO YA 41 YA SABASABA JIJINI DAR LEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/rais-dkt-magufuli-afungua-rasmi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA RASMI MAONYESHO YA 41 YA SABASABA JIJINI DAR LEO"

Post a Comment

Loading...