Loading...
title : SPIKA APATA UGENI KUTOKA BARAZA LA UMOJA WA MATAIFA WA HAKI ZA BINADAMU
link : SPIKA APATA UGENI KUTOKA BARAZA LA UMOJA WA MATAIFA WA HAKI ZA BINADAMU
SPIKA APATA UGENI KUTOKA BARAZA LA UMOJA WA MATAIFA WA HAKI ZA BINADAMU
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) akimueleza jambo Mtaalamu wa kujitegemea kutoka Baraza la Umoja wa Mataifa wa Haki za Binadamu, liliopo Geneva, Switzerland Ndg. Ikponwosa Ero, nyumbani kwake Mjini Dodoma. katikati ni katibu wa Spika, Ndg. Said Yakubu.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiwa na ugeni kutoka Baraza la Umoja wa Mataifa lenye Makao Makuu yake Geneva, Switzerland wakiongozwa na Ndg. Ikponwosa Ero (wa pili kushoto) uliomtembelea nyumbani kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akimsikiliza Mtaalamu wa kujitegemea kutoka Baraza la Umoja wa Mataifa wa Haki za Binadamu, Ndg. Ikponwosa Ero ,alipomtembelea nyumbani kwake Mjini Dodoma. katikati ni katibu wa Spika, Ndg. Said Yakubu.
Hivyo makala SPIKA APATA UGENI KUTOKA BARAZA LA UMOJA WA MATAIFA WA HAKI ZA BINADAMU
yaani makala yote SPIKA APATA UGENI KUTOKA BARAZA LA UMOJA WA MATAIFA WA HAKI ZA BINADAMU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA APATA UGENI KUTOKA BARAZA LA UMOJA WA MATAIFA WA HAKI ZA BINADAMU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/spika-apata-ugeni-kutoka-baraza-la.html
0 Response to "SPIKA APATA UGENI KUTOKA BARAZA LA UMOJA WA MATAIFA WA HAKI ZA BINADAMU"
Post a Comment