Loading...

SPIKA NDUGAI AONGOZA WABUNGE KATIKA MAZISHI YA MKE WAZIRI MWAKYEMBE, MAREHEMU LINAH MWAKYEMBE KYELA, JIJINI MBEYA.

Loading...
SPIKA NDUGAI AONGOZA WABUNGE KATIKA MAZISHI YA MKE WAZIRI MWAKYEMBE, MAREHEMU LINAH MWAKYEMBE KYELA, JIJINI MBEYA. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SPIKA NDUGAI AONGOZA WABUNGE KATIKA MAZISHI YA MKE WAZIRI MWAKYEMBE, MAREHEMU LINAH MWAKYEMBE KYELA, JIJINI MBEYA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SPIKA NDUGAI AONGOZA WABUNGE KATIKA MAZISHI YA MKE WAZIRI MWAKYEMBE, MAREHEMU LINAH MWAKYEMBE KYELA, JIJINI MBEYA.
link : SPIKA NDUGAI AONGOZA WABUNGE KATIKA MAZISHI YA MKE WAZIRI MWAKYEMBE, MAREHEMU LINAH MWAKYEMBE KYELA, JIJINI MBEYA.

soma pia


SPIKA NDUGAI AONGOZA WABUNGE KATIKA MAZISHI YA MKE WAZIRI MWAKYEMBE, MAREHEMU LINAH MWAKYEMBE KYELA, JIJINI MBEYA.

Mwambawahabari

 Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akisaini kitabu cha Maombolezo wakati wa mazishi ya Mke wa Waziri Wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe Dkt Harisson Mwakyembe, Marehemu Linah Mwakyembe Wilayani Kyela, Jijini Mbeya.


  Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akimsabai Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe Dkt Harisson Mwakyembe wakati mazishi ya Mke wake, Marehemu Linah Mwakyembe Wilayani Kyela, Jijini Mbeya.

 Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Naibu Spika Dkt Tulia Ackson wakati wa mazishi ya Mke wa Waziri Wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe Dkt Harisson Mwakyembe, Marehemu Linah Mwakyembe Wilayani Kyela, Jijini Mbeya.

  Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akitoa Salamu za heshima kwa mwili wa Mke wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe Dkt Harisson Mwakyembe, Marehemu Linah Mwakyembe wakati wa mazishi yake nyumbani kwake Wilayani Kyela, Jijini Mbeya.

 Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa (wa kwanza toka kushoto)Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai, Naibu Spika Dkt Tulia Ackson wakifuatilia misa ya mazishi ya Mke wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe Dkt Harisson Mwakyembe, Marehemu Linah Mwakyembe wakati wa mazishi yake nyumbani kwake Wilayani Kyela, Jijini Mbeya

Mweyekiti wa Wabunge wa Chuma cha Mapinduzi kutoka Mkoa wa Mbeya Mhe Victor Mwambalasu akizungumza kwa niaba ya Wabunge wa Mkoa huo wakati wa mazishi ya Mke wa Waziri Wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe Dkt Harisson Mwakyembe, Marehemu Linah Mwakyembe Wilayani Kyela, Jijini Mbeya. Wengine katika picha ni Wabunge wa Chama cha Mapinduzi kutoka Mkoa wa Mbeya.
Picha na Ofisi ya Bunge


Hivyo makala SPIKA NDUGAI AONGOZA WABUNGE KATIKA MAZISHI YA MKE WAZIRI MWAKYEMBE, MAREHEMU LINAH MWAKYEMBE KYELA, JIJINI MBEYA.

yaani makala yote SPIKA NDUGAI AONGOZA WABUNGE KATIKA MAZISHI YA MKE WAZIRI MWAKYEMBE, MAREHEMU LINAH MWAKYEMBE KYELA, JIJINI MBEYA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA NDUGAI AONGOZA WABUNGE KATIKA MAZISHI YA MKE WAZIRI MWAKYEMBE, MAREHEMU LINAH MWAKYEMBE KYELA, JIJINI MBEYA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/spika-ndugai-aongoza-wabunge-katika_93.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SPIKA NDUGAI AONGOZA WABUNGE KATIKA MAZISHI YA MKE WAZIRI MWAKYEMBE, MAREHEMU LINAH MWAKYEMBE KYELA, JIJINI MBEYA."

Post a Comment

Loading...