Loading...
title : Tigo na Tecno wazawadia wanahabari kwenye maonesho ya 41 ya biashara sabasaba leo
link : Tigo na Tecno wazawadia wanahabari kwenye maonesho ya 41 ya biashara sabasaba leo
Tigo na Tecno wazawadia wanahabari kwenye maonesho ya 41 ya biashara sabasaba leo
Mwambawahabari
Meneja wa mawasiliano Tigo Tanzania, Woinde Shisael akionesha simu toleo jipya la Tecno aina ya TecnoX1 kwa bei ya Tsh. 99,000/- na Tecno R6 kwa 195,000/- kwa waandishi wa habari mapema mwishoni wa wiki iliyopita., ambazo zinapatikana kwenye banda la Tigo sabasaba na kwenye maduka ya Tigo. Pichani kulia ni Afisa mawasiliano wa Tecno Tanzania, Eric Mkomoya na kushoto Meneja vifaa vya Intaneti wa Tigo, Mkumbo Myonga. |
Meneja wa mawasiliano Tigo Tanzania, Woinde Shisael akifafanua jambo kwa waandishi wa habari . Pichani kulia ni Afisa mawasiliano wa Tecno Tanzania, Eric Mkomoya na kushoto Meneja vifaa vya Intaneti wa Tigo, Mkumbo Myonga. |
Mwandishi wa habari wa Clouds Media, Aziz Kindamba akionesha simu aina ya TecnoX1aliyoshida kwenye droo ilichezeshwa kwenye banda la Tecno mapema mwishoni wa wiki iliyopita. |
Mwandishi wa habari wa gazeti la Habarileo, Regina Kumba akionesha simu aina ya Tecno R6 aliyoshida kwenye droo ilichezeshwa kwenye banda la Tecno leo. |
Waandishi wa habari wakipokea zawadi mbalimbali toka kampuni ya Tecnokwenye maonesho ya 41 ya sabasaba jijini Dar mapema mwishoni wa wiki iliyopita. |
Hivyo makala Tigo na Tecno wazawadia wanahabari kwenye maonesho ya 41 ya biashara sabasaba leo
yaani makala yote Tigo na Tecno wazawadia wanahabari kwenye maonesho ya 41 ya biashara sabasaba leo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Tigo na Tecno wazawadia wanahabari kwenye maonesho ya 41 ya biashara sabasaba leo mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/tigo-na-tecno-wazawadia-wanahabari.html
0 Response to "Tigo na Tecno wazawadia wanahabari kwenye maonesho ya 41 ya biashara sabasaba leo"
Post a Comment