Loading...

WAZIRI MKUU AWASILI MKOANI LINDI KWA ZIARA YA KIKAZI

Loading...
WAZIRI MKUU AWASILI MKOANI LINDI KWA ZIARA YA KIKAZI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MKUU AWASILI MKOANI LINDI KWA ZIARA YA KIKAZI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MKUU AWASILI MKOANI LINDI KWA ZIARA YA KIKAZI
link : WAZIRI MKUU AWASILI MKOANI LINDI KWA ZIARA YA KIKAZI

soma pia


WAZIRI MKUU AWASILI MKOANI LINDI KWA ZIARA YA KIKAZI


 Mwambawahabari
 Image result for picha ya waziri mkuu majaliwa kassim

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewasili Mkoani lindi kwa ziara ya kikazi ya siku nne akiwa mkoani lindi ameanza ziara yake katika wilaya ya liwale kwa ajili ya kukagua shughuli za maendele  najioni yaleo atukuwa na mkutano wa hadhara nakuzungumza na wananchi wa liwale  pamoja na kusikiliza kero zao

Waziri Mkuu ameongozana na Mke wake Mery Majaliwa   ambapo walipokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Lindi Godfrey Zambi  pamoja viongozi wa wilaya za Mkoa wa lindi ambao walifika katika mapokezi katika uwanja wa ndege wa Nachingwea

Waziri Mkuu hapo kesho ataenda kaika wilaya ya Ruangwa 

HABARI ZAIDI TUTAWALETEA JIONI


Hivyo makala WAZIRI MKUU AWASILI MKOANI LINDI KWA ZIARA YA KIKAZI

yaani makala yote WAZIRI MKUU AWASILI MKOANI LINDI KWA ZIARA YA KIKAZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU AWASILI MKOANI LINDI KWA ZIARA YA KIKAZI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/waziri-mkuu-awasili-mkoani-lindi-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MKUU AWASILI MKOANI LINDI KWA ZIARA YA KIKAZI"

Post a Comment

Loading...