Loading...
title : WAZIRI WA MAJI WA MISRI ATEMBELEA MTAMBO WA KUSAFISHA MAJI WA RUVU CHINI
link : WAZIRI WA MAJI WA MISRI ATEMBELEA MTAMBO WA KUSAFISHA MAJI WA RUVU CHINI
WAZIRI WA MAJI WA MISRI ATEMBELEA MTAMBO WA KUSAFISHA MAJI WA RUVU CHINI
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Gerson Lwenge, akimwonyesha Mtambo Mpya wa kisasa wa Kusukuma maji wa Ruvu Chini unaomilikiwa na Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka (DAWASA), mgeni wake Waziri wa Maji na Umwagilia wa Misri Dk. Mohamed Abdel ATY (wapili kulia), baada ya kuwasili jana katika eneo la kusuku maji la Ruvu chini na kujionea maji yanavyoingizwa katika mtambo huo kutoka mtoni.(kushoto ni ) Mkurugenzi wa Sekta ya Maji na Umwaghiliaji wa Misri Dk. Ahmed BahaaEl Deen na kulia ni Mkurugenzi wa DAWASCO, Cyprian Luhemeja.
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Gerson Lwenge, akiwa na mgeni wake Waziri wa Maji na Umwagilia wa Misri Dk. Mohamed Abdel ATY (wapili kulia), baada ya kuwasili jana katika eneo la kusuku maji la Ruvu chini na kujionea maji yanavyoingizwa katika mtambo huo kutoka mtoni.(kushoto ni ) Mkurugenzi wa Sekta ya Maji na Umwaghiliaji wa Misri Dk. Ahmed BahaaEl Deen na kulia ni Mkurugenzi wa DAWASCO, Cyprian Luhemeja.
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Gerson Lwenge, akimwonyesha Mtambo Mpya wa kisasa wa Kusukuma maji wa Ruvu Chini unaomilikiwa na Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka (DAWASA), mgeni wake Waziri wa Maji na Umwagilia wa Misri Dk. Mohamed Abdel ATY (wapili kulia), baada ya kuwasili jana katika eneo la kusuku maji la Ruvu chini na kujionea maji yanavyoingizwa katika mtambo huo kutoka mtoni.
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Gerson Lwenge, akiondoka katika eneola Ruvu chini pamoja na mgeni wake Waziri wa Maji na Umwagilia wa Misri Dk. Mohamed Abdel ATY (wapili kulia), baada ya kumaliza kukagua katika eneo la kusukuma maji la Ruvu chini na kujionea maji yanavyoingizwa katika mtambo huo kutoka mtoni.
Hivyo makala WAZIRI WA MAJI WA MISRI ATEMBELEA MTAMBO WA KUSAFISHA MAJI WA RUVU CHINI
yaani makala yote WAZIRI WA MAJI WA MISRI ATEMBELEA MTAMBO WA KUSAFISHA MAJI WA RUVU CHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI WA MAJI WA MISRI ATEMBELEA MTAMBO WA KUSAFISHA MAJI WA RUVU CHINI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/waziri-wa-maji-wa-misri-atembelea.html
0 Response to "WAZIRI WA MAJI WA MISRI ATEMBELEA MTAMBO WA KUSAFISHA MAJI WA RUVU CHINI"
Post a Comment