Loading...
title : WIZARA YA MAMBO YA NJE YANADI MIRAANI FURSA ZA BIASHARA KATIKA SOKO LA AFRIKA MASHARIKI
link : WIZARA YA MAMBO YA NJE YANADI MIRAANI FURSA ZA BIASHARA KATIKA SOKO LA AFRIKA MASHARIKI
WIZARA YA MAMBO YA NJE YANADI MIRAANI FURSA ZA BIASHARA KATIKA SOKO LA AFRIKA MASHARIKI
Kituo Kikuu cha Mabasi, Dodoma
Mfanyabiashara akielezwa namna bidhaa zake ambazo amezibeba kichwani atakavyoweza kuziuza katika nchi za Afrika Mashariki na kupata faida kubwa. |
Ujumbe wa kutaka vijana na Watanzania kwa ujumla wazinduke ili wanufaike na soko la Afrika Mashariki ulifikishwa kwa njia tofauti ikiwemo sanaa ya maigizo. |
Baadhi ya watu waliojitokeza kupata mbinu za kufanya biashara ndani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Hapa ilikuwa Kituo Kikuu cha Mabasi mjini Dodoma. |
Gandhi Hall , Mwanza
Bw. Justin Kisoka akiwa kwenye bustani ya Gandhi Hall mjini Mwanza akitoa somo namna Wanamwanza watakavyoweza kuuza Sato, Sangara na bidhaa nyingine katika soko la Afrika Mashariki. Kwa habari zaidi BOFYA HAPA |
Hivyo makala WIZARA YA MAMBO YA NJE YANADI MIRAANI FURSA ZA BIASHARA KATIKA SOKO LA AFRIKA MASHARIKI
yaani makala yote WIZARA YA MAMBO YA NJE YANADI MIRAANI FURSA ZA BIASHARA KATIKA SOKO LA AFRIKA MASHARIKI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WIZARA YA MAMBO YA NJE YANADI MIRAANI FURSA ZA BIASHARA KATIKA SOKO LA AFRIKA MASHARIKI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/wizara-ya-mambo-ya-nje-yanadi-miraani.html
0 Response to "WIZARA YA MAMBO YA NJE YANADI MIRAANI FURSA ZA BIASHARA KATIKA SOKO LA AFRIKA MASHARIKI"
Post a Comment