Loading...

ZIARA YA RC MAKONDA MAREKANI YAZAA MATUNDA, WALIMU WA MAREKANI WAJA KUJIFUNZA KUTOKA TANZANIA, WAAHIDI KUSHIRIKIANA UJENZI WA MAKTABA YA WANANCHI DAR.

Loading...
ZIARA YA RC MAKONDA MAREKANI YAZAA MATUNDA, WALIMU WA MAREKANI WAJA KUJIFUNZA KUTOKA TANZANIA, WAAHIDI KUSHIRIKIANA UJENZI WA MAKTABA YA WANANCHI DAR. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ZIARA YA RC MAKONDA MAREKANI YAZAA MATUNDA, WALIMU WA MAREKANI WAJA KUJIFUNZA KUTOKA TANZANIA, WAAHIDI KUSHIRIKIANA UJENZI WA MAKTABA YA WANANCHI DAR., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ZIARA YA RC MAKONDA MAREKANI YAZAA MATUNDA, WALIMU WA MAREKANI WAJA KUJIFUNZA KUTOKA TANZANIA, WAAHIDI KUSHIRIKIANA UJENZI WA MAKTABA YA WANANCHI DAR.
link : ZIARA YA RC MAKONDA MAREKANI YAZAA MATUNDA, WALIMU WA MAREKANI WAJA KUJIFUNZA KUTOKA TANZANIA, WAAHIDI KUSHIRIKIANA UJENZI WA MAKTABA YA WANANCHI DAR.

soma pia


ZIARA YA RC MAKONDA MAREKANI YAZAA MATUNDA, WALIMU WA MAREKANI WAJA KUJIFUNZA KUTOKA TANZANIA, WAAHIDI KUSHIRIKIANA UJENZI WA MAKTABA YA WANANCHI DAR.

Mwambawahabari
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Leo amekutana na ujumbe Wa walimu 18 kutoka nchini marekani ambao Wapo hapa nchi kwa ajili ya kujifunza masuala mbalimbali ikiwemo utamaduni, lugha ya kiswahili na namna ya kuandaa mitaala.


Walimu hao ni Pamoja na Wa washule za Msingi na Sekondari Wapo katika hatua ya mwisho kumaliza mafunzo yao hayo.

Miongoni mwa masuala waliyozungia wakati Wa mkutano wao huo ni Pamoja na kuangalia namna ya kujenga maktaba ya jamii mkoani Dsm ambayo itawezesha wananchi kupata fursa ya kujisomea na kuelewa utamaduni Wa nchi hiyo na ndani ya nchi.

Kufuatia mikakati hiyo ya ujenzi Wa maktaba Makonda amewahimiza wananchi Wa Mkoa huo kujenga utamaduni Wa kujisomea.

 Jambo lingine ambalo wamelijadili ni Pamoja kuangalia wanajenga vipi umoja ktk kuleta walimu watakao kuja kufundisha mkoani humo ili vijana  wapate uelewa wa kutoa.

Pamoja na hayo amesema  kuwa walimu hao watasaidia katika kuwafundisha watanzania namna ya kufanyakazi kufuatia utamaduni walio wa kuthamini na kutilia mkazo suala la ufanyaji kazi.  

Ziara walimu imekata baada ya mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam kufanya ziara  nchini Marekani mwaka Jana.      


Hivyo makala ZIARA YA RC MAKONDA MAREKANI YAZAA MATUNDA, WALIMU WA MAREKANI WAJA KUJIFUNZA KUTOKA TANZANIA, WAAHIDI KUSHIRIKIANA UJENZI WA MAKTABA YA WANANCHI DAR.

yaani makala yote ZIARA YA RC MAKONDA MAREKANI YAZAA MATUNDA, WALIMU WA MAREKANI WAJA KUJIFUNZA KUTOKA TANZANIA, WAAHIDI KUSHIRIKIANA UJENZI WA MAKTABA YA WANANCHI DAR. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ZIARA YA RC MAKONDA MAREKANI YAZAA MATUNDA, WALIMU WA MAREKANI WAJA KUJIFUNZA KUTOKA TANZANIA, WAAHIDI KUSHIRIKIANA UJENZI WA MAKTABA YA WANANCHI DAR. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/ziara-ya-rc-makonda-marekani-yazaa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ZIARA YA RC MAKONDA MAREKANI YAZAA MATUNDA, WALIMU WA MAREKANI WAJA KUJIFUNZA KUTOKA TANZANIA, WAAHIDI KUSHIRIKIANA UJENZI WA MAKTABA YA WANANCHI DAR."

Post a Comment

Loading...