Loading...

Zoezi la Uvunjaji wa Nyumba Kando ya Barabara ya Jangombe Lakamilika.

Loading...
Zoezi la Uvunjaji wa Nyumba Kando ya Barabara ya Jangombe Lakamilika. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Zoezi la Uvunjaji wa Nyumba Kando ya Barabara ya Jangombe Lakamilika., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Zoezi la Uvunjaji wa Nyumba Kando ya Barabara ya Jangombe Lakamilika.
link : Zoezi la Uvunjaji wa Nyumba Kando ya Barabara ya Jangombe Lakamilika.

soma pia


Zoezi la Uvunjaji wa Nyumba Kando ya Barabara ya Jangombe Lakamilika.

Zoezi la uvunjaji wa Nyumba kando ya barabara ya jangombe limekamilika kwa wakaazi wa eneo hilo kumalizia kuvunja nyumba zao ili kuweza kupisha Mradi Mkubwa wa kupitishia maji machafu na ya mvua wakati wa mvua za masika zikinyesha baadhi ya maeneo hujaa maji na kuwa kero kwa wakazi hao na kuhama maeneo hayo baada ya kujaa maji.Zoezi hilo limefanyika kwa kiasa kikubwa tayari eneo hilo husika likiwa wazi kusubiri hatua ya uchimbaji wa mtaro huo kuleta faraja kwa wananchi wa maeneo yanayojaa maji kupata usuluhishi wa kero hiyo baada ya ujenzi huo.  




Hivyo makala Zoezi la Uvunjaji wa Nyumba Kando ya Barabara ya Jangombe Lakamilika.

yaani makala yote Zoezi la Uvunjaji wa Nyumba Kando ya Barabara ya Jangombe Lakamilika. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Zoezi la Uvunjaji wa Nyumba Kando ya Barabara ya Jangombe Lakamilika. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/zoezi-la-uvunjaji-wa-nyumba-kando-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Zoezi la Uvunjaji wa Nyumba Kando ya Barabara ya Jangombe Lakamilika."

Post a Comment

Loading...