Loading...

DC MTATURU ATAMBULISHA VIFAA VITAKAVYOTUMIKA LIGI YA "IKUNGI ELIMU CUP 2017"

Loading...
DC MTATURU ATAMBULISHA VIFAA VITAKAVYOTUMIKA LIGI YA "IKUNGI ELIMU CUP 2017" - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DC MTATURU ATAMBULISHA VIFAA VITAKAVYOTUMIKA LIGI YA "IKUNGI ELIMU CUP 2017", tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DC MTATURU ATAMBULISHA VIFAA VITAKAVYOTUMIKA LIGI YA "IKUNGI ELIMU CUP 2017"
link : DC MTATURU ATAMBULISHA VIFAA VITAKAVYOTUMIKA LIGI YA "IKUNGI ELIMU CUP 2017"

soma pia


DC MTATURU ATAMBULISHA VIFAA VITAKAVYOTUMIKA LIGI YA "IKUNGI ELIMU CUP 2017"

Mkuu wa Wilaya ya Ikungi mhe Miraji J. Mtaturu akiwa ameshika kikombe kinachoshindaniwa katika mashindano ya "IKUNGI ELIMU CUP 2017" wakati akivitambulisha vifaa vyote vya michezo vitakavyotumika katika mashindano hayo leo Agosti 19, 2017. (Picha Zote Na Mathias Canal)
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi mhe Miraji J. Mtaturu akifungua mipira itakatumika kwenye ligi ya mpira wa miguu maarufu kama "IKUNGI ELIMU CUP 2017" wakati akivitambulisha vifaa vyote vya michezo vitakavyotumika katika mashindano hayo leo Agosti 19, 2017.
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi mhe Miraji J. Mtaturu (Kulia) akiwa na makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Elimu Wilaya ya Ikungi Alhaji Salum Mohamed Chima wakionyesha vifaa vitakavyotumika kwenye ligi ya mpira wa miguu maarufu kama "IKUNGI ELIMU CUP 2017" wakati akivitambulisha vifaa vyote vya michezo vitakavyotumika katika mashindano hayo leo Agosti 19, 2017.
Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Elimu Wilaya ya Ikungi Alhaji Salum Mohamed Chima akionyesha moja ya mipira itakatumika kwenye ligi ya mpira wa miguu maarufu kama "IKUNGI ELIMU CUP 2017" wakati akivitambulisha vifaa vyote vya michezo vitakavyotumika katika mashindano hayo leo Agosti 19, 2017.

mwambawahabari
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi mhe Miraji J. Mtaturu akionyesha moja ya mipira itakatumika kwenye ligi ya mpira wa miguu maarufu kama "IKUNGI ELIMU CUP 2017" wakati akivitambulisha vifaa vyote vya michezo vitakavyotumika katika mashindano hayo leo Agosti 19, 2017.

Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida Mhe Miraji J. Mtaturu ametambulisha vifaa vitakavyotumika wakati wa mashindano ya "IKUNGI ELIMU CUP 2017" Inayoanza kurindima hii leo katika uwanja wa Shule ya Sekondari Ikungi.

Kuanzishwa kwa ligi hii itasaidia kuhamasisha wananchi pamoja na wadau mbalimbali wa elimu katika kutatua changamoto za elimu ikiwemo ujenzi wa Madarasa, Maabara pamoja na nyumba za waalimu kupitia mfuko wa elimu.


Hivyo makala DC MTATURU ATAMBULISHA VIFAA VITAKAVYOTUMIKA LIGI YA "IKUNGI ELIMU CUP 2017"

yaani makala yote DC MTATURU ATAMBULISHA VIFAA VITAKAVYOTUMIKA LIGI YA "IKUNGI ELIMU CUP 2017" Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DC MTATURU ATAMBULISHA VIFAA VITAKAVYOTUMIKA LIGI YA "IKUNGI ELIMU CUP 2017" mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/dc-mtaturu-atambulisha-vifaa_19.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DC MTATURU ATAMBULISHA VIFAA VITAKAVYOTUMIKA LIGI YA "IKUNGI ELIMU CUP 2017""

Post a Comment

Loading...