Loading...
title : DKT. REHEMA NCHIMBI AFIWA NA MAMA YAKE
link : DKT. REHEMA NCHIMBI AFIWA NA MAMA YAKE
DKT. REHEMA NCHIMBI AFIWA NA MAMA YAKE
FAMILIA YA DR. REHEMA NCHIMBI, MKUU WA MKOA WA SINGIDA, INASIKITIKA KUWATANGAZIA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI KUWA IMEFIKWA NA MSIBA WA BI. SELIDA DAUDI AMBAYE NI MAMA MZAZI WA DR. REHEMA NCHIMBI HUKO MAGUGU BABATI, MKOANI MANYARA. TARATIBU ZA MAZIKO ZINAFANYWA MAGUGU BABATI MANYARA. TAARIFA ZIWAFIKIE NDUGU NA JAMAA WOTE POPOTE PALE WALIPO.
BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE.
-AMIN
Hivyo makala DKT. REHEMA NCHIMBI AFIWA NA MAMA YAKE
yaani makala yote DKT. REHEMA NCHIMBI AFIWA NA MAMA YAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DKT. REHEMA NCHIMBI AFIWA NA MAMA YAKE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/dkt-rehema-nchimbi-afiwa-na-mama-yake.html
0 Response to "DKT. REHEMA NCHIMBI AFIWA NA MAMA YAKE"
Post a Comment