Loading...
title : JAPAN YAISAIDIA TANZANIA SHILINGI TRILIONI 74 KUTEKELEZA MIRADI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA MITANO
link : JAPAN YAISAIDIA TANZANIA SHILINGI TRILIONI 74 KUTEKELEZA MIRADI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA MITANO
JAPAN YAISAIDIA TANZANIA SHILINGI TRILIONI 74 KUTEKELEZA MIRADI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA MITANO
Rais wa Shirika la Maendeleo la Japan –JICA, Bw. Shinichi Kitaoka (kushoto), akielezea namna Shirika lake lilivyojipanga kuendeleza ushirikiano na Tanzania alipokutana na kufanya mazungumzo na mwenyeji wake, Waziri wa Fedha na Mipango. Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb), (wa kwanza kulia), Jijini Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango. Bi. Amina Khamis Shaaban (kushoto), akisikiliza kwa makini mazungumzo kati ya Waziri wa Fedha na Mipango. Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb) na Rais wa Shirika la Maendeleo la Japan –JICA, Bw. Shinichi Kitaoka, (hawapo pichani), walipokutana Jijini Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango. Dkt. Dkt. Khatibu Kazungu (kulia), na James Andindilile (kutoka Wizara ya Nishati na Madini) wakisikiliza kwa makini mazungumzo kati ya Waziri wa Fedha na Mipango. Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb) na Rais wa Shirika la Maendeleo la Japan –JICA, Bw. Shinichi Kitaoka, (hawapo pichani), walipokutana Jijini Dar es Salaam.
Kaimu Kamishna wa Idara ya Sera wa Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Shogholo Msangi na Mkurugenzi wa Huduma za Sheria wa Wizara hiyo Bi. Susana Mkapa, wakiangalia moja ya nyaraka zilizowekwa mezani wakati wa mazungumzo kati ya Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) na Rais wa Shirika la Maendeleo la Japan-JICA, Bw. Shinichi Kitaoka, Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji (BU), Prof. Adolf Mkenda (kushoto) na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt, Khatibu Kazungu, wakisikiliza kwa makini mazungumzo kati ya Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb) na Rais wa Shirika la Maendeleo la Japan-JICA, Bw. Shinichi Kitaoka, Jijini Dar es Salaam.
Hivyo makala JAPAN YAISAIDIA TANZANIA SHILINGI TRILIONI 74 KUTEKELEZA MIRADI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA MITANO
yaani makala yote JAPAN YAISAIDIA TANZANIA SHILINGI TRILIONI 74 KUTEKELEZA MIRADI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA MITANO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala JAPAN YAISAIDIA TANZANIA SHILINGI TRILIONI 74 KUTEKELEZA MIRADI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA MITANO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/japan-yaisaidia-tanzania-shilingi.html
0 Response to "JAPAN YAISAIDIA TANZANIA SHILINGI TRILIONI 74 KUTEKELEZA MIRADI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA MITANO"
Post a Comment