Loading...

SERIKALI KUANZA KUTOA LESENI MPYA KWA MAGAZERI NA MAJARIDA NCHINI

Loading...
SERIKALI KUANZA KUTOA LESENI MPYA KWA MAGAZERI NA MAJARIDA NCHINI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SERIKALI KUANZA KUTOA LESENI MPYA KWA MAGAZERI NA MAJARIDA NCHINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SERIKALI KUANZA KUTOA LESENI MPYA KWA MAGAZERI NA MAJARIDA NCHINI
link : SERIKALI KUANZA KUTOA LESENI MPYA KWA MAGAZERI NA MAJARIDA NCHINI

soma pia


SERIKALI KUANZA KUTOA LESENI MPYA KWA MAGAZERI NA MAJARIDA NCHINI

SERIKALI imesema inaanza kutoa leseni mpya za machapisho mbalimbali ikiwemo magazeti na majarida yote nchini ikiwa ni utekelezaji wa matakwa ya kifungu cha 5(e) cha Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016 unaokwenda pamoja na Kanuni ya 7 ya Kanuni za Sheria ya Huduma za Habari za mwaka 2017 zilizochapishwa kwa mujibu wa tangazo la Serikali na 18 la Februari 3, 2017.

Akizungumza katika Mkutano na Wanaandishi wa Habari jijini Dar es salaam leo, Mkurugenzi Mkuu, Idara ya Habari - MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas amesema kuwa utoaji huo wa leseni kwa machapisho yote umeanza rasmi leo Agosti 23, 2017 na utafikia tamati Octoba 15, 2017 na magazeti yote yahakikishe yanakamilisha taratibu ya kupatia leseni mpya kwa kipindi hicho, na baada ya muda huo hawataruhusiwa kuyachapisha kwani watakuwa wanatenda kosa kisheria.


Dkt. Abbas amesema, kwa mujibu wa sheria, utaratibu huu wa sasa unafuta mfumo wa awali wa utoaji wa Hati za Usajili wa magazeti na majarida uliokuwa ukitumika kwa mujibu awali kwa mujibu wa Sheria ya Magazeti ya mwaka 1976.


Fomu za maombi, akaunti ya kulipia pamoja na orodha ya nyaraka zinazohitajika kwa ajili ya usajili huo, vinapatikana kuanzia saa katika ofisi za Idara ya Habari - MAELEZO za jijini Dar es salaam na Dodoma au katika sehemu ya "Huduma Zetu" katika tovuti ya Idara hiyo BOFYA HAPA.
Mkurugenzi Mkuu, Idara ya Habari - MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas akizungumza katika Mkutano na Wanaandishi wa Habari jijini Dar es salaam leo.



Hivyo makala SERIKALI KUANZA KUTOA LESENI MPYA KWA MAGAZERI NA MAJARIDA NCHINI

yaani makala yote SERIKALI KUANZA KUTOA LESENI MPYA KWA MAGAZERI NA MAJARIDA NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI KUANZA KUTOA LESENI MPYA KWA MAGAZERI NA MAJARIDA NCHINI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/serikali-kuanza-kutoa-leseni-mpya-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SERIKALI KUANZA KUTOA LESENI MPYA KWA MAGAZERI NA MAJARIDA NCHINI"

Post a Comment

Loading...