Loading...

KAMATI YA BUNGE YA BAJETI YATEMBELA MIRADI YA UMEME WA GESI YA KINYEREZI II NA ULE WA UPANUZI KINYEREZI I

Loading...
KAMATI YA BUNGE YA BAJETI YATEMBELA MIRADI YA UMEME WA GESI YA KINYEREZI II NA ULE WA UPANUZI KINYEREZI I - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KAMATI YA BUNGE YA BAJETI YATEMBELA MIRADI YA UMEME WA GESI YA KINYEREZI II NA ULE WA UPANUZI KINYEREZI I, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KAMATI YA BUNGE YA BAJETI YATEMBELA MIRADI YA UMEME WA GESI YA KINYEREZI II NA ULE WA UPANUZI KINYEREZI I
link : KAMATI YA BUNGE YA BAJETI YATEMBELA MIRADI YA UMEME WA GESI YA KINYEREZI II NA ULE WA UPANUZI KINYEREZI I

soma pia


KAMATI YA BUNGE YA BAJETI YATEMBELA MIRADI YA UMEME WA GESI YA KINYEREZI II NA ULE WA UPANUZI KINYEREZI I

 Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani (Mb), wapili kulia, akiwaongoza wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, kutembelea mradi wa umeme wa Kinyerezi II na ule wa upanuzi wa Kinyerezi I jijini Dar es Salaam, Agosti 21, 2018. Kamati hiyo pia ilitembelea kituo cha kupkea gesi asili kilicho jirani na Miradi hiyo.

KAMATI ya Bunge ya Bajeti, imetembelea miradi ya kuzalisha umeme wa gesi ya Kinyerezi II, na ule wa upanuzi wa Kinyerezi I unaoendeshwa na Serikali kupitia Shrika la Umeme Tanzania (TANESCO) na kuridhishwa na kasi ya ujenzi wa miradi hiyo.

Kamati hiyo inayoongozwa na Mbunge wa Mtwara vijijini Mhe. Hawa Ghasia, pia ilitembelea kituo cha kupokea gesi asili inayotumika kuzalisha umeme kilichoko jirani na miradi hiyo.

Katika ziara hiyo, mwenyeji wa Kamati hiyo, Naibu Waziri wa Nishati na Madini, (Mb), Mhe.Dkt.Medard Kalemani, aliwahakikishia wajumbe wa Kamati hiyo kuwa miradi hiyo inaendelea kama ambavyo Serikali ilitarajia na kwamba Watanzania wategemee ongezeko kubwa la upatikanaji wa umeme pindi miradi hiyo itakapokamilika. 
 Wajumbe wa Kamati wakipita pembezoni mwa moja ya mashine kubwa (genereta), kati ya 8 zinazofungwa kwenye mradi wa Kinyerezi II

“Mhe. Mwenyekiti na Wajumbe wote wa Kamati, miradi hii kunzia ule wa Kinyerezi I unaopanuliwa ambapo kutakuwa na ongezeko la umeme Megawati 35 na hivyo kufanya jumla ya Megawati 185 zitakazozalishwa kutoka Kinyerezi I, na huu wa Kinyerezi II utakapokamilika Agosti mwakani (2018) utatupatia Megawati 240 na ukijumlisha na miradi mingine itakayofuatia ya Kinyerezi III na VI, tutakuwa na jumla ya Megawati 1175.” Alifafanua Mhe. Dkt. Kalemani.

Kwa upande wake Meneja wa Mradi wa Kinyerezi II, Mhandisi Stephene Manda aliwaambia wajumbe wa kamati hiyo kuwa mradi huo utakuwa na jumla ya mashine 8 ambazo zitafua umeme na tayari ufungaji wa mashine hizo umeanza na unaendelea na kuongeza kuwa kuanzia Desemba Mosi mwaka huu, TANESCO itaingiza megawati 30 kwenye gridi ya taifa na kufanya hivyo kila baada ya mwezi mmoja kadri kazi ya ufungaji wa mashine hizo utakavyokuwa unakamilika.

Alisema gharama za mradi wa Kinyerezi II ni dola milioni 344.


Mhandisi Manda, (waliyenyoosha mkono), ambaye ni Meneja Mradi wa Kinyerezi II, akwapatia maelezo wajumbe wa Kamati akiwemo Naibu Waziri Dkt. Kalemani.

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI


Hivyo makala KAMATI YA BUNGE YA BAJETI YATEMBELA MIRADI YA UMEME WA GESI YA KINYEREZI II NA ULE WA UPANUZI KINYEREZI I

yaani makala yote KAMATI YA BUNGE YA BAJETI YATEMBELA MIRADI YA UMEME WA GESI YA KINYEREZI II NA ULE WA UPANUZI KINYEREZI I Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KAMATI YA BUNGE YA BAJETI YATEMBELA MIRADI YA UMEME WA GESI YA KINYEREZI II NA ULE WA UPANUZI KINYEREZI I mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/kamati-ya-bunge-ya-bajeti-yatembela_22.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KAMATI YA BUNGE YA BAJETI YATEMBELA MIRADI YA UMEME WA GESI YA KINYEREZI II NA ULE WA UPANUZI KINYEREZI I"

Post a Comment

Loading...